Mbwa jamii ya Rottweiller waua mwangalizi wao Dar


Nihangaike kiasi Hicho kwamba huyo Mbwa ni Mamangu au Demu wangu? Shenzy kabisa. Bora nifuge Kuku na ninunue revolver!

What if kavunja au geti limeachwa wazi akatoka? Hapo natakiwa niielimishe jamii nzima namna ya ku deal naye?
 

1. Pitbulls: 3397
2. Rottweiler: 535 attacks
3. German shepherd: 113 attacks
4. Bullmastiff with 111 attacks
5. Wolf Hybrid with 85 attacks
6. Husky with 83 attacks
7. Akita with 70 attacks
8. Boxer with 64 attacks
9. Chow with 61 attacks
10. Labrador with 56 attacks
 
Pitpull ndio balaa kabisa

Hawa mbwa unatakiwa kuwa handle with maximum care vinginevyo WANAKUUA wewe mwenyewe

Kiasili hawa mbwa walichanganywa na mbwa waporini hivyo wana vinasaba vya asili ya unyama pori na wanyama wa nyumbani(petty)
Siku akikasirika na aka trigger instinct yake ya unyamapori kitaalamu anakua kwenye "attacking mode"........ hapo hakuna kitu utafanya akaacha kushambulia ni hadi anaua kabisaa
Na aina yao ya kushambulia unaambiwa wana bite force ya hatari, na akingata analock jaws zake haachii, na ili kuhakikisha maximum damage anapongata anatingisha kama anakung'uta

Yanini kujiweka kwenye hatari yote hii
Niliwahi kwafatilia youtubbe hadi nikaogopa aisee
 
Mkuu mbwa mmoja anakuua tena vizuri sana

Achana na mbwa wetu hawa wa asili
Mbwa kama huyo tajwa au pitbull anakuua unless uwe na kisu kikali na uhakikishe haukiangushi

Hawa viumbe niliokutajia wakiwa kwenye attacking mode wanakua habari nyingine kabisa

Hebu nenda mjini yutube kaangalie video za pitbull attack utapata pocha
 
Nipe tatu hatari zaidi za aina za mbwa
Hawa jamaa nawaelewa Sana unambii chochote hapa namtafuta mnyama anaitwa Belgium Malinois huyu ndo hatari zaidi, bahati mbaya nchi nyingi zimempiga marufuku
 
Rottwieler akili ndogo.
German shepherd ni mkali lakini mtiifu sana na anafundishika kirahisi, anapokea order mapema na hasau. Rott shida yake kubwa ni mgumu kufundishika na kigeugeu anaka kukumbushwa Mara kwa mara
 
Kwa sasa Pitbull ndio anaongoza kushambulia binaadamu na kuua
Anafuatiwa na Rottweiler
Kisha anafuatia kwa mbali German shapherd
Acha Wang'atwe tu
Mpaka wafe yaani wafe kabisa
Hivi unaacha kuhudumia familia yako huko unahangaika na mambwa
Na mi nasema yawang'ate tu mpaka wawatoe roho kabisa maana hamna namna
 
Asante sana! Picha yao tafadhali.
 
Namba yako ya simu mkuu,,, yangu ni 0757503034, 0621593034
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…