- Thread starter
- #21
Ni kweli ni level yako make huwezi toa laki 3 mpaka milioni kununua mbwa.Sisi tushazoea mbwa unamlisha dagaa, au unamuacha akasake. Sasa haya ya kulisha mbwa msosi wa supermarket sio yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli ni level yako make huwezi toa laki 3 mpaka milioni kununua mbwa.Sisi tushazoea mbwa unamlisha dagaa, au unamuacha akasake. Sasa haya ya kulisha mbwa msosi wa supermarket sio yetu.
Si ndo hapo sasa...huu ni mfugo au kisanga?😂😂😂 na usioneshe mahaba kwa mwanao mbele yake mbwa gani sasa uyu
Kabisa na hata muda wa kucheza nae lazima uwe nao.Yani nifuge mbwa kwa ajili ya ulinzi alafu nimnunulie na kitenesi cha kuchezea?
Huyu dog ni kama nilishawahi kumuona sehemu fulani tuliyoenda kuiba mimi na genge langu la wahuni,alitukimbiza kwelikweli
Huwa wanaagalia na wa kuwaua ukiwa na sura ngumu wanajua wewe ndio unataka kuwaua[emoji16]wanasema anaua.
Mbwa mwenyewe anaonekana amekaa kishari shari tu.
Shangaa ww mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Mbwa anapewa breakfast [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbwa wangu ni usiku mpaka usikuShangaa ww mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] hivyo ndio inatakiwa, kila baada ya 24hrs. Sasa hawa ambao wanahitaji mpaka breakfast ni shida.Mbwa wangu ni usiku mpaka usiku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe mwenyewe unakula vyakula vya buguruni sokoni sasa chakula supermarket cha dog mweee jamani!Sisi tushazoea mbwa unamlisha dagaa, au unamuacha akasake. Sasa haya ya kulisha mbwa msosi wa supermarket sio yetu.
Duu jamani kwahiyo tuseme huo unaweza kuwa ni mkono wa mtu?Au utakuta jamaa amerogwa...wachaw wana njia nying za kuua
[emoji23][emoji23][emoji23]Yani nifuge mbwa kwa ajili ya ulinzi alafu nimnunulie na kitenesi cha kuchezea?
Hawa sio kwa ajili yetu aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe mwenyewe unakula vyakula vya buguruni sokoni sasa chakula supermarket cha dog mweee jamani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo wanajua sura za kazi ni hatari kwa afya yao haaa haaa haaa!Huwa wanaagalia na wa kuwaua ukiwa na sura ngumu wanajua wewe ndio unataka kuwaua