Mbwa jamii ya Rottweiller waua mwangalizi wao Dar

Bora mimi nafuga zangu Koboko kama nane hivi...hao ndio wananilinda...hawabweki ni kimya kimya tu wanapiga show.... chakula chao Bangi huhitaji kwenda supermarket..
 
hawa mbwa sio poa,rottweiller sio mbwa wa kufugwa nyumbani maana hawatabiliki muda wowote anakuzngua,wana meno magumu sio ya nchi hii,mimi nilikua nalo moja nafuga,likanishinda tabia
 
Wakuu habari zenu,
Kuna video nimeiangalia ndani ya dkk 3 mbwa wameua mtu. Nikaukumbuka huu uzi. Msicheze na mbwa majumbani mwa watu, hata ukiona wametulia usiingie mpk mwenyeji aje jmn. Ni hatari
Imenisikitisha sana hii video
 
Du!!,yaani mbwa wako akuletea hasara tena?
 
Nina cross ya Rottweiler ipo vyema sema umeanza kuwa Koko haitaki Banda Sasa kumekuwa na matukio ya fisi usiku kupita mitaani Sasa huyu mbwa amekuwa mlinzi wa mtaa anakimbiza na kujeruhi fisi mtaani full amani mpaka raha kwa vurugu zake
 
RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…