Mbwa jamii ya Rottweiller waua mwangalizi wao Dar

Vile sio vimbwa vile ni vimdoli ahahahhaha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani nifuge mbwa kwa ajili ya ulinzi alafu niishi kwa masharti magumu kiasi hicho eti kisa wana wivu! Kwani mbwa wa kufuga wameisha mpaka nikafuge wao
Mbwa kama mwanmke?
 
Yaan mbwa ashambulie mtu niite gari ya fire?? Huu utani sasa....si watakuta mifupa..
Dawa panga tuu
Pole Sana sina na na ya kukusaidia,mwenye nyumba kashindwa kumuokoa mtunza bustani wake, kaita kampuni ya walinzi wameshindwa mpaka polisi wali po am kutumia risasi za moto kuwaua mbwa wote wanna. Siongelei mbwa wenu kina bobi,simba, popi nk, naongelea aggressive four rottweilers. Fanya masihara kwa sababu huwezi kummiliki lakini Kama naweza kummiliki jifunze kitu
 
Vile sio vimbwa vile ni vimdoli ahahahhaha
Unaweza topic ya MTU ameelezea Yale aliyojifunza shule au chuo Mimi nakuletea toka field, nimefanya kazi na mbwa muda mrefu na ninafuga kwa muda mrefu. Pia nia yangu ilikuwa nikusaidia watu kwani baada ya tukio nimepigiwa Sim u kuombwa ushauri pia
 
Mbwa kama una mke na mchepuko? Ya nn haya...akivamia mtu umdhibirmti na mpira wa maji??
Anaonekana ni mbwa wa hasara maana ukifuga basi unalazimika kuweka pia na miundombinu ya maji yenye presha bila kusahau vitenesi na makorokoro kibao kwajili ya kumfurahisha yeye tu[emoji38][emoji38][emoji10]

Si bora nifuge chui au simba ijulikane moja tu
 
Halafu mleta mada nilikuwa nina swali, kama ikikupendeza ulijibu kadri utakavyoona inafaa,hivi wale mbwa ambao Rashid kule mjengoni alisema watabweka watanyamaza hivi ni mbegu hii hii ya rottweiller Rashid alikuwa anaimaanisha?
 
Hahahhahaha unafuga mbwa kwa ajili ya ulinzi huku ww unamlainda tena mbwa huyo
 
Halafu mleta mada nilikuwa nina swali, kama ikikupendeza ulijibu kadri utakavyoona inafaa,hivi wale mbwa ambao Rashid kule mjengoni alisema watabweka watanyamaza hivi ni mbegu hii hii ya rottweiller Rashid alikuwa anaimaanisha?
Hahahha Rashidi analiyekimbia kondoo wake au yupi huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…