kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Huyo wa kwanza anachek kwa jicho la kuibaDaah hapana aisee hawa wamekaa kikatili katili sana, si ndiyo hawa waliomshambulia mzee wetu Kingunge?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo wa kwanza anachek kwa jicho la kuibaDaah hapana aisee hawa wamekaa kikatili katili sana, si ndiyo hawa waliomshambulia mzee wetu Kingunge?
Vile sio vimbwa vile ni vimdoli ahahahhahaMbona uzi unaohusu mbwa wa kizungu na ufugaji upo humu kitambo sana, na umezungumzia vitu vingi sana.
Tena kuna hadi vile vimbwa vya kina Wema Sepetu ambavyo unaweza ukavipiga teke vikaenda kuangukia kwa jirani mtaa wa pili, alaf unaambiwa vinauzwa hela ndefu
Mbwa kama mwanmke?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani nifuge mbwa kwa ajili ya ulinzi alafu niishi kwa masharti magumu kiasi hicho eti kisa wana wivu! Kwani mbwa wa kufuga wameisha mpaka nikafuge wao
Pole Sana sina na na ya kukusaidia,mwenye nyumba kashindwa kumuokoa mtunza bustani wake, kaita kampuni ya walinzi wameshindwa mpaka polisi wali po am kutumia risasi za moto kuwaua mbwa wote wanna. Siongelei mbwa wenu kina bobi,simba, popi nk, naongelea aggressive four rottweilers. Fanya masihara kwa sababu huwezi kummiliki lakini Kama naweza kummiliki jifunze kituYaan mbwa ashambulie mtu niite gari ya fire?? Huu utani sasa....si watakuta mifupa..
Dawa panga tuu
Mbwa wa kishua mkuuYani nifuge mbwa kwa ajili ya ulinzi alafu nimnunulie na kitenesi cha kuchezea?
Mbwa kama una mke na mchepuko? Ya nn haya...akivamia mtu umdhibirmti na mpira wa maji??Nimecheka tu hapo eti usimwache akutawale wakati masharti yake tu yenyewe tayari inakuwa ameshakutawala
Unaweza topic ya MTU ameelezea Yale aliyojifunza shule au chuo Mimi nakuletea toka field, nimefanya kazi na mbwa muda mrefu na ninafuga kwa muda mrefu. Pia nia yangu ilikuwa nikusaidia watu kwani baada ya tukio nimepigiwa Sim u kuombwa ushauri piaVile sio vimbwa vile ni vimdoli ahahahhaha
Kupanga ni kuchaguaMbwa kama mwanmke?
![]()
![]()
kwahiyo wanajua sura za kazi ni hatari kwa afya yao haaa haaa haaa!![]()
Anaonekana ni mbwa wa hasara maana ukifuga basi unalazimika kuweka pia na miundombinu ya maji yenye presha bila kusahau vitenesi na makorokoro kibao kwajili ya kumfurahisha yeye tu[emoji38][emoji38][emoji10]Mbwa kama una mke na mchepuko? Ya nn haya...akivamia mtu umdhibirmti na mpira wa maji??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usisahau kumuogeshaYani nifuge mbwa kwa ajili ya ulinzi alafu nimnunulie na kitenesi cha kuchezea?
Siwezi kufuga mbwa wenye sura mbaya hivi
Hahahhahaha unafuga mbwa kwa ajili ya ulinzi huku ww unamlainda tena mbwa huyoAnaonekana ni mbwa wa hasara maana ukifuga basi unalazimika kuweka pia na miundombinu ya maji yenye presha bila kusahau vitenesi na makorokoro kibao kwajili ya kumfurahisha yeye tu[emoji38][emoji38][emoji10]
Si bora nifuge chui au simba ijulikane moja tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi tushazoea mbwa unamlisha dagaa, au unamuacha akasake. Sasa haya ya kulisha mbwa msosi wa supermarket sio yetu.
Mbwa kwa ajili ya ulinzi ila sharti na ww umlindeSiwezi kufuga mbwa wenye sura mbaya hivi
Hahahha Rashidi analiyekimbia kondoo wake au yupi huyo?Halafu mleta mada nilikuwa nina swali, kama ikikupendeza ulijibu kadri utakavyoona inafaa,hivi wale mbwa ambao Rashid kule mjengoni alisema watabweka watanyamaza hivi ni mbegu hii hii ya rottweiller Rashid alikuwa anaimaanisha?