Mbwa jamii ya Rottweiller waua mwangalizi wao Dar

Hiyo ni sahihi kabisa, kuna jamaa alitaka kuniuzia G-Shepherd kwa laki 6 na niongeze laki 2 unusu ya mbwa kufundishwa utii na ukali. Nikaenda nunua wa elfu 70 na anatimiza wajibu wake vizuri kabisa.
Hebu nitumie number za huyo trainer wa mbwa
 
Hii mbegu ni noma haitakagi ujinga, kama mtu hana uelewa wa kuwadhibiti, ni bora ya kukaa nao mbali. Nawafahamu sana.
Mkuu nafikiri kuna makosa ya kimatumizi maana kwa nijuwavyo hawa jamii hiyo ya mbwa huwa ni walinzi kwenye sehemu ambayo watu wanakuwa hawapo kwa muda huo.kama vile bank au mahali panapohifadhiwa vito vya thamani na huwa wanawekwa baada ya muda wa kazi na kuondolewa kabla ya muda wa kazi na watu maalumu na wenye mava,I maalumu, hawa ni moja ya jamii ya mbwa ambayo ni wakali sana na uwezi wao wa kupokea amri ni mdogo sana wao kazi yao ni kushambulia kilichoko mbele yao.
Mbwa hawa hufugwa na polisi na kampuni maalum za ulinzi na si watu binafsi,
 
Kwaiyo mtu ameshambuliwa wameita vikosi vyote ivo na vikafika bado wanamshambulia tu kweli tz hali imebadilika watu wako chap haraka now days
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…