Mbwa jamii ya Rottweiller waua mwangalizi wao Dar

Mbwa jamii ya Rottweiller waua mwangalizi wao Dar

Aiseee don't buy this dogs hawafundishiki Mbwa pekee mwenye akili hata ukae usafir ukae miaka 5 lakini siku ya kurudi ata vibe na wewe ni Germany Shephered kwanza hao Rotwailler wana Visasi sanaaa ukimchapa anahifadhi moyoni
Siku akiamka vibaya unarudisha namba kwa sir godi
 
Bora wafuge tu hawa Buza Shepherd.
IMG-20201124-WA0013.jpg
 
Kuna jamaa yangu alinunua hao viumbe watatu lakini wakamshinda, chakula alikua anawapa cha kutosha tena vile special vya supermarket lakini kila akiamka asubuhi lazma akute uharibifu haswa kwenye magari yake, mara akute wameng'oa taa, mara bampa wameitafuna, mara tairi wametobia kwa meno, mpaka akaamua kuwauza, isje kua ndio hao.
Bumpers anaharibu lakini kutoboa tairi ana jeuri iyo. Mwenye uwezo wa kutoboa tairi ni Simba na Chui, wana kucha na power ya kutoboa tairi lakini kwa mbwa hakuna
 
Kuna jirani yetu alichelewa kuwapa chakula mbwa wake wa aina hiyo, aisee alipowafungulia mbona aliikimbia nyumba! Hata hivyo haikuwa salama yake kwani siku ya pili aliporudi walimvamia kuja kuzinduka ana drip hospitalini huku hata kukaa hawezi.
Baada ya mwezi aliporuhusiwa na kurudi nyumbani aliwapiga risasi wote.
 
Khaaa! Wanini sasa hao.
 
Nimewafuga hawa mbwa ila sikuwapenda ni wakorofi sana na walipiza kisasi. Ni umbwa hatari hasa unapowatumia nyumbani.
 
Yani nifuge mbwa kwa ajili ya ulinzi alafu nimnunulie na kitenesi cha kuchezea?
Maaajabu haya yapo huko tu[emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji23][emoji28][emoji1787]
 
Nataka mbegu koko na hizo kizungu labda nitapata mbwa kawaida Fulani hivi
 
ukifuga hii mbwa inakula watoto wako

1608903482494.png
 
Attachments

  • 1608903367933.png
    1608903367933.png
    163.4 KB · Views: 12
Maana wezi wenyewe hawaji kilichobaki ni kuwapeleka kusaka kenge na sungura bobi wetu

enzi zile kanidakia sungura sana kule milimani kiding'a,ila tukrudi nyumbani linazubaa zubaaa tu

Umenikumbusha mbali asee, kiding’a mambo ya kupiganisha mbwa
 
Back
Top Bottom