Hapana yule ni malighafi moja matata sana
Unatumiaga vile vitu vinavyotoa moshi kabla ya kulala au?Kila nikizima taa na kuingia bed! Kuna mbwa wa jiran anakuja kweny dirisha langu na kubweka kwa kuunguruma!! Nikitoka nje sion kitu na pazia nimepandisha upand! Wakongwe nin maana ya Hii Mambo?
Sijawahi kusikia.Hivi mbwa pia hutumika katika uchawi?
aiseee kuna papa mkubwa kakutwa akiwa hai ndani ya beseni bafuni. Mke kamwekea jamaa maji ya kuoga, mume kuingia bafuni kakuta bonge la papa linacheza kwenye beseni, mume akazimia.Wanachukuliwa kama najisi
Weka pichaaiseee kuna papa mkubwa kakutwa akiwa hai ndani ya beseni bafuni. Mke kamwekea jamaa maji ya kuoga, mume kuingia bafuni kakuta bonge la papa linacheza kwenye beseni, mume akazimia.
Saa nzima ikapita mke kaona mumewe hatoki, kaenda kumuangalia, kamkuta kapoteza fahamu na lile lipapa linafurahia tu mle ndani ya beseni
Kwanini Mshana Jr?Hapana yule ni malighafi moja matata sana
Ya Magufuli?Weka picha
Wanachukuliwa kama najisi
[emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji38] Ya papa kwenye beseni!!!Ya Magufuli?
Ewe mnuka uchi punguani hajibiwi, la sivyo nawe utakuwa na silika za kipuuzi na kipunguaniEwe punguani, uchawi wenyewe ni najisi tupu.
tell us paka ana kitu gani special kana kwamba atumiwe na wachawi ilhali ni najisi kama mbwa
Sina jibu la moja kwa moja lakini pengine ni ile tabia yake ya usafi na kule kusemekana ana roho nyingi...ila nadhani kuna kitu cha ziada ndio maana amekuwa ni victim wa wachawiKwanini Mshana Jr?
Labda unanuka nyama...Kila nikizima taa na kuingia bed! Kuna mbwa wa jiran anakuja kweny dirisha langu na kubweka kwa kuunguruma!! Nikitoka nje sion kitu na pazia nimepandisha upand! Wakongwe nin maana ya Hii Mambo?
Ewe mnuka uchi punguani hajibiwi, la sivyo nawe utakuwa na silika za kipuuzi na kipunguani