Mbwa Kubweka Dirishan Kila Siku Usiku.

Mbwa Kubweka Dirishan Kila Siku Usiku.

Kila nikizima taa na kuingia bed! Kuna mbwa wa jiran anakuja kweny dirisha langu na kubweka kwa kuunguruma!! Nikitoka nje sion kitu na pazia nimepandisha upand! Wakongwe nin maana ya Hii Mambo?
Unatumiaga vile vitu vinavyotoa moshi kabla ya kulala au?
 
Huyo mbwa ni mlinzi tosha, ondoa hofu yawezakuwa vibaka huwa wananyemelea dirishani kwako na mbwa abwekapo hukufanya ustuke na kuamka. Na unapotoka vibaka hukimbia ndo maana mbwa hunyamaza.
 
Itakuwa chumbani kwako kuna wachawi ambalo mbwa anawamind sana
 
Wanachukuliwa kama najisi
aiseee kuna papa mkubwa kakutwa akiwa hai ndani ya beseni bafuni. Mke kamwekea jamaa maji ya kuoga, mume kuingia bafuni kakuta bonge la papa linacheza kwenye beseni, mume akazimia.
Saa nzima ikapita mke kaona mumewe hatoki, kaenda kumuangalia, kamkuta kapoteza fahamu na lile lipapa linafurahia tu mle ndani ya beseni
 
Weka picha
 
Mmmmnh kuna nguvu za giza hapo , mbwa anahusika sana Nakuona vitu ambavyo Hatuwezi kuviona kwa macho yetu yA kawaida . Acha mambo yA chumvi mrudie muumba wako
 
Kila nikizima taa na kuingia bed! Kuna mbwa wa jiran anakuja kweny dirisha langu na kubweka kwa kuunguruma!! Nikitoka nje sion kitu na pazia nimepandisha upand! Wakongwe nin maana ya Hii Mambo?
Labda unanuka nyama...
 
Back
Top Bottom