MBWA MBWA MBWA KUTOKA GERMAN

FLongote

Member
Joined
May 2, 2019
Posts
14
Reaction score
14
Tunauza na kusambaza mbwa aina ya German sherfad,mikoani tuna tuma karibuni sana,
Mbwa wetu wanauwezo wa kunusa na kutambua mita 100 kutoka usawa wa adui alipo, karibuni sana
 
hahahah,hapana mkuu huyu ametoka juzi mogadishu kwa mafunzo yake ya mwisho amewasili nchini juzi tuu.yupo lugalo kwa sasa
 
Hivi mtu akiandika kitu kama hiki analipwa?
shobo zako tuu unashindwa kusoma heading au?
hii ni sehem ya wanopenda kufurahi we na shida zako uko plus kugombana na mchepuko wako una kuja na mahasira yako pole hapakuusu nenda kwenye siasa mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mbwa wa hivi mara nyingi hukimbilia barabarani ili wagongwe wafe tu.
 
Mtu anayenyanyasa mbwa ni adui yangu ungelikuwa karibu ningekuchapa makofi
 
Mtu anayenyanyasa mbwa ni adui yangu ungelikuwa karibu ningekuchapa makofi
mkuu ungenichapa makofi?ungenichapaje makofi,yaan sijaelewa makofi yanachapwa kivipi?
Arafu mkuu mbwa amenyanyaswaje?amekwambia kuwa ana nyanyasika? hivi unajua kwa siku ana kula bajeti ya shingapi huyo?ana kula vzur kushinda ata wewe
 
Huyo mbwa akipigwa teke la mbavu na huyo adui utamkuta kagawanyika vipande viwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…