Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shobo zako tuu unashindwa kusoma heading au?Hivi mtu akiandika kitu kama hiki analipwa?
Yes, Dolla 400 kwa mweziHivi mtu akiandika kitu kama hiki analipwa?
mkuu ungenichapa makofi?ungenichapaje makofi,yaan sijaelewa makofi yanachapwa kivipi?Mtu anayenyanyasa mbwa ni adui yangu ungelikuwa karibu ningekuchapa makofi
Naskia huyu mbwa anakula hadi Big G na maembe mabichi.Huyu siyo yule mbwa aliyepotea na polisi wakapewa sharti la kumrejesha!