WANAJF,
Kwa wale wanaopenda kuwa na mbwa kwa ajili ya ulinzi na mambo mengine naomba tuwasiliane. Ninao mbwa wawili wadogo ambao wanaweza kunywa maziwa na hata kula sasa.Wako wawili tu, jike na dume. Mimi siwauzi (ni bure), hivyo kwa yeyote anayehitaji naomba aniPM ili nimfahamishe jinsi ya kuwapata. Mimi nipo Dar eneo la Mwenge.
Mnakaribishwa nyote.