Amani iwe nanyi.
Shehe Mwaipopo anaye kiongozi aliyemtuma kuanzisha ufugaji wa mbwa mwitu.
Na kauli zake ni za wazi kabisa, anatamani nchi iwe Islamic state,kwamba utasilimu Kwa kupenda na usipotaka utalazimishwa au uuwawe
Na ukiunga dots Kwa mamlaka kumpa support aseme ayasemayo, aminini ni anatumwa kupelekwa ujumbe.
Unganisha na dot hii, Kuna kiongozi mmoja tena ana nafasi kubwa tu, amewahi sema kuwa pale jirani na feri, nyumba hiyo ilikuwa ni msikiti zamani kabla ya uhuru, ndipo ujue wadhamini na wafuga mbwa mwitu ni akina nani.
Sasa umakini pia uongezeke maana Kuna watakaodhani kuwa ni waislamu ndio wanashambulia wakristo Hapana, ni chama cha kijani na majambazi wenzao ndio wamevaa ngozi ya mbwa mwitu ili kutengeneza sintofahamu ili tushambuliane kidini.
Umakini uongezeke, hii vita inaelekea mwisho.
Mwanakondoo ameshinda, tumfuate.