Mbwa, Paka na Panya . Ndio mfano wa Siasa Tanzania

Mbwa, Paka na Panya . Ndio mfano wa Siasa Tanzania

Castle_Lite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
4,646
Reaction score
10,442
Huko zamani.

Mbwa alikuwa anamfukuza Paka.

Na Paka anamfukuza Panya.

Uadui huo ulikuwa kila mtu anauona kiuhalisia na kwa vitendo.

Nadhan ni kwasababu ya chakula/posho waliyokuwa wanapata.

Au pengine kwasababu ya faida waliyokuwa wanapata kwenye makaz ya sisi Binadam(muajiri wao).

Ila Sasahivi mambo yamebadilika.

Mbwa anajidai kumfukuza Paka na paka anajidai kumfukuza Panya.

Ila kiuhalisia wote. Wameungana na wanajidai. Na mwisho wa siku. Wanakubaliana kila mmoja ale kwa kiwango gani.

Kwahiyo Kinachopatikana wanagawana kwa maelewano.

Na kuwahadaa wanadamu waone kuwa hawa ni maadui. Kumbe sivyo.

Ila kiuhalisia sio maadui tena. Wanafanya ili waonekane hivyo.

Mbwa ,Paka na Panya wameungana.

Anyway.
Hili haliusiani na Siasa za CCM, Chaumma wala ACT.
 
Back
Top Bottom