Mbwa Rottweiler wa Kike for Sale $2000

Mbwa Rottweiler wa Kike for Sale $2000

Nafikiri hii ni bei ya kawaida sana ila target group ndiyo shida. Kuna wakurugenzi wanavuta karibu 40m kwa mwezi wangeona hili dili wangechangamkia fasta maana wao wanajitaji ulinzi kamili wa mbwa, cctv na binadamu. Si mnajua tena ukishakuwa na escrow...
 
Hello every1,
Nauza huyu mbwa wa kike aina ya Rottweiler.Nilimnunua kutoka Kenya na kumfundisha "basic obedience" pamoja na guard instincts kumanisha anaskia ukimwambia sit,down,come,leave it,stay,attack,na mengine mengi.
Ana miezi mitano na chanjo zote ashapata hadi ya rabies.Ni mkali sana kwa strangers.Bei ni $2000.

mbona bei nafuu mkuu??? ni mgonjwa au sio pure breed
 
How much does it cost, where are you located and how long does it take?
Am in Mbezi~Kimara.On costing I charge 400000 and it would take minimum 2 weeks.How long it will take for your dog I may not be able to tell since it depends on the foundation and how obedient it is to basic commands.How old is it?Its easier to work with pups than mature dogs .By pups I mean upto 18mnths old
 
well said mkuu - ushamba na lack of knowledge inasumbua sana. Watu wananunua mbwa hadi 4000USD yeye anashangaa wa 2000USD , tuna shida sana; muhimu ukiwa hujui kitu omba ueleweshwe, pia kuna products zinaendana na class kama wewe hata mshahara ni robo ya hiyo 2000USD kama sie hapa just learn and leave the thread in peace.

wewe unafikiri ni ushamba? nafahamu kuna tibetan mastiff anauzwa mpaka $ 1.7mil:A S wink: lakini kwa maisha ya mtanzania kununua mbwa 3.4mil ni kufuru
 
!
!
hao mbwa hawanifai, dola 400 mafunzo, dola 2000 sijui nini. Mh, hapo kuku wa kienyeji kiiiiiiibao.
 
!
!
hao mbwa hawanifai, dola 400 mafunzo, dola 2000 sijui nini. Mh, hapo kuku wa kienyeji kiiiiiiibao.
In life theres the concept of "hierarchy of need" and its something yu graduate into.Utakapo ridhika na hao kuku..utapata unahitaji kitu kingine
 
Back
Top Bottom