Mbwa sio tena mlinzi wa kutumainiwa. Dr. Shika kashaharibu

Msigazi Mkulu

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
4,160
Reaction score
3,368
Hii mbinu ya kushika kengele a.k.a pu..u kama ni kweli ikifinyika mbwa hawezi hata kubweka,basi hatuna imani tena mbwa kwenye ulinzi.
 
Inabidi kwanza niwasiliane na watu wa Myth Busters kabla sijajaribu, maana naweza nikafanya mbwa wawe interested zaidi kukichukua kile nilichoshikilia watakaponishambulia!

Swali la uchokozi - wanawake wao wanapaswa kushika nini ili wasishambuliwe na mbwa?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] vichechesho
 
Wewe acha tajiri mtata aka Billionea maarufu wa muda Dk Louis Shika akuingize cha kike uparamie mageti ya watu mazee ya Whuuuu! Whuuu! Yakutoe nduki wewe ukazane kubinya kengele huku wanakutafuna tu
 
Je mademu wanashika nini? mzee ametupiga fiksi tu. Ninachojua wanyama kama ukionyesha confidence mbele yao uwa wanagwaya ukiogopa ndio wanakuwa na jeuri ya kuku attack. Hata simba ukikaza wanakuogopa ndio maana unaona machizi wanakatiza Mikumi kila siku sasa ukienda wewe ukitishwa unatoka ushuzi na kuanza kukimbia unamalizwa ndani ya dk tu
 
Hii mbinu ya kushika kengele a.k.a pu..u kama ni kweli ikifinyika mbwa hawezi hata kubweka,basi hatuna imani tena mbwa kwenye ulinzi.
Mkuu unaweza kutuwekea japo kapicha Jinsi Mzee alivyokua akibinya Mbupu na Mbwa wakapiga kimya??
 
Inabidi kwanza niwasiliane na watu wa Myth Busters kabla sijajaribu, maana naweza nikafanya mbwa wawe interested zaidi kukichukua kile nilichoshikilia watakaponishambulia!

Swali la uchokozi - wanawake wao wanapaswa kushika nini ili wasishambuliwe na mbwa?
Hahahaha! Hii sio ya kufanyia majaribio hata kidogo. Hapo kuhusu wanawake inabidi waandishi warudi tena wamuulize.
 
Wewe acha tajiri mtata aka Billionea maarufu wa muda Dk Louis Shika akuingize cha kike uparamie mageti ya watu mazee ya Whuuuu! Whuuu! Yakutoe nduki wewe ukazane kubinya kengele huku wanakutafuna tu
Hahahaha! Jamaa anaweza kukuingiza kingi hivihivi.
 
Je mademu wanashika nini? mzee ametupiga fiksi tu. Ninachojua wanyama kama ukionyesha confidence mbele yao uwa wanagwaya ukiogopa ndio wanakuwa na jeuri ya kuku attack. Hata simba ukikaza wanakuogopa ndio maana unaona machizi wanakatiza Mikumi kila siku sasa ukienda wewe ukitishwa unatoka ushuzi na kuanza kukimbia unamalizwa ndani ya dk tu
Kwa hiyo jamaa ametuingiza kingi.
 
Back
Top Bottom