mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
Wanaingiaje bandani? Una hakika ni umbwa?Habari!
Msaada tutani. Kwenye makazi ninayoishi huku mtaani nina changamoto ya mbwa kula mayai ndani ya banda naamini kama wafugaji wenzangu mmepitia changamoto hii je mliitatuaje ushauri utakaonipenda ni kuua hicho kiumbe.
Je, nitumie dawa Gani au mbinu gani?
Kweli hiyo ubaya ubwela😂😂😂😂UBAYA UBWELA...! Tafuta nyama kilo1. Pamoja na Sindano zile za kushonea Nguo, Kata Kata vipande hiyo nyama na kila kipande zamisha Sindano moja tu! kisha ziweke kwenye njia zao wanakopita hao Mbwa! akila hiyo itamchukua wiki Moja au Mbili kufa! ataanza kuumwa kama Mgonjwa wa Ebola, atanyonyoka taratibu na mwisho kujifia tu!
Mbinu hiyo ni nzuri maana hata kama ni Mbwa wa jirani hautapata lawama na hakuna atakaedhani kama wewe ndio umefanya Ubaya huo!
Pole sana kwa Changamoto hiyo Mkuu!
Hao sio mbwa🤣Bora huko walikuja, mitaa ya kwangu mamlaka za serikali zimegoma kuua mbwa wa mtaani, wanadai ni kinyume na haki za wanyama.
Kuna jeshi la mbwa koko mtaani; wanapita na kuku, mbuzi, ndama wadogo, n.k. Ni shida!
Wakitegwa kwa sumu hawali, na mchana hawaonekani. Na usiku wanatembea kikosi, wakihisi wanawindwa wanatawanyika kwa mbio.
Haya mambo yanauma sana.UBAYA UBWELA...! Tafuta nyama kilo1. Pamoja na Sindano zile za kushonea Nguo, Kata Kata vipande hiyo nyama na kila kipande zamisha Sindano moja tu! kisha ziweke kwenye njia zao wanakopita hao Mbwa! akila hiyo itamchukua wiki Moja au Mbili kufa! ataanza kuumwa kama Mgonjwa wa Ebola, atanyonyoka taratibu na mwisho kujifia tu!
Mbinu hiyo ni nzuri maana hata kama ni Mbwa wa jirani hautapata lawama na hakuna atakaedhani kama wewe ndio umefanya Ubaya huo!
Pole sana kwa Changamoto hiyo Mkuu!
Pole sana mkuuHaya mambo yanauma sana.
Leo nimekaa zangu chini ya kivuli nimevunja muwa naula taratibu. Mara nasikia kelele kuku wanakimbia. Walikuwa wamejipumzikia kwenye vivuli nikanyanyuka naona mbwa anatokomea na kuku. Wakuu hebu niambieni dawa gani au sumu nikiiweka kwenye nyama kazi imeisha.
Mipaka shume je ?UBAYA UBWELA...! Tafuta nyama kilo1. Pamoja na Sindano zile za kushonea Nguo, Kata Kata vipande hiyo nyama na kila kipande zamisha Sindano moja tu! kisha ziweke kwenye njia zao wanakopita hao Mbwa! akila hiyo itamchukua wiki Moja au Mbili kufa! ataanza kuumwa kama Mgonjwa wa Ebola, atanyonyoka taratibu na mwisho kujifia tu!
Mbinu hiyo ni nzuri maana hata kama ni Mbwa wa jirani hautapata lawama na hakuna atakaedhani kama wewe ndio umefanya Ubaya huo!
Pole sana kwa Changamoto hiyo Mkuu!
Dawa gani ni effective nataka niwapoteze mazima maana naona bila kuwadhibiti sina kuku. Hivi nilikuwa najiuliza mbona kuku wanaonekana kupungua kumbe wanakuja kuwaokota.Pole sana mkuu
Niliandika ushauri huo nikafutaKuna wawili walikua wanazagaa hapa mtaani nikaamua kuwachapa risasi for security of my kids.
Hakuna lakufanya zaidi ya kuwaua tu mkuu.
Mzee wangu kawapiga risasi hao paka shume na mbwa usiku waliobaki walikuwa hawasogei kabisa maeneo ya banda hata nyumbani hawapitiUnalalamika mbwa!
paka pori hawali mayai wao wanasepa na kuku kabisa halafu wanakuja night kali umelala..
Paka Shume ukimtegea Sumu anatapika,Mipaka shume je ?