Mbwa wa mtaani wamekuwa kero katika ufugaji wangu. Nitumie mbinu gani kuwadhibiti?

Mbwa wa mtaani wamekuwa kero katika ufugaji wangu. Nitumie mbinu gani kuwadhibiti?

UBAYA UBWELA...! Tafuta nyama kilo1. Pamoja na Sindano zile za kushonea Nguo, Kata Kata vipande hiyo nyama na kila kipande zamisha Sindano moja tu! kisha ziweke kwenye njia zao wanakopita hao Mbwa! akila hiyo itamchukua wiki Moja au Mbili kufa! ataanza kuumwa kama Mgonjwa wa Ebola, atanyonyoka taratibu na mwisho kujifia tu!
Mbinu hiyo ni nzuri maana hata kama ni Mbwa wa jirani hautapata lawama na hakuna atakaedhani kama wewe ndio umefanya Ubaya huo!

Pole sana kwa Changamoto hiyo Mkuu!
 
Habari!

Msaada tutani. Kwenye makazi ninayoishi huku mtaani nina changamoto ya mbwa kula mayai ndani ya banda naamini kama wafugaji wenzangu mmepitia changamoto hii je mliitatuaje ushauri utakaonipenda ni kuua hicho kiumbe.

Je, nitumie dawa Gani au mbinu gani?
Wanaingiaje bandani? Una hakika ni umbwa?
 
UBAYA UBWELA...! Tafuta nyama kilo1. Pamoja na Sindano zile za kushonea Nguo, Kata Kata vipande hiyo nyama na kila kipande zamisha Sindano moja tu! kisha ziweke kwenye njia zao wanakopita hao Mbwa! akila hiyo itamchukua wiki Moja au Mbili kufa! ataanza kuumwa kama Mgonjwa wa Ebola, atanyonyoka taratibu na mwisho kujifia tu!
Mbinu hiyo ni nzuri maana hata kama ni Mbwa wa jirani hautapata lawama na hakuna atakaedhani kama wewe ndio umefanya Ubaya huo!

Pole sana kwa Changamoto hiyo Mkuu!
Kweli hiyo ubaya ubwela😂😂😂😂
 
Bora huko walikuja, mitaa ya kwangu mamlaka za serikali zimegoma kuua mbwa wa mtaani, wanadai ni kinyume na haki za wanyama.
Kuna jeshi la mbwa koko mtaani; wanapita na kuku, mbuzi, ndama wadogo, n.k. Ni shida!
Wakitegwa kwa sumu hawali, na mchana hawaonekani. Na usiku wanatembea kikosi, wakihisi wanawindwa wanatawanyika kwa mbio.
Hao sio mbwa🤣
 
Pole kwa changamoto Naomba ku-share njia niliyoitumia mimi.Muda mwingi walikuwa wanapenda kupumzika kwenye veranda ya nyumba yangu na kivulini chini ya mti
 
Chemsha maji kwa centrigrade ile ya mwisho halafu mmwagie mmoja wapo.Hakuna mbwa atakujukuzoea tena,na hata ukipita mtaani kokote kule hakuna mbwa atake bweka mbele yako.
 
UBAYA UBWELA...! Tafuta nyama kilo1. Pamoja na Sindano zile za kushonea Nguo, Kata Kata vipande hiyo nyama na kila kipande zamisha Sindano moja tu! kisha ziweke kwenye njia zao wanakopita hao Mbwa! akila hiyo itamchukua wiki Moja au Mbili kufa! ataanza kuumwa kama Mgonjwa wa Ebola, atanyonyoka taratibu na mwisho kujifia tu!
Mbinu hiyo ni nzuri maana hata kama ni Mbwa wa jirani hautapata lawama na hakuna atakaedhani kama wewe ndio umefanya Ubaya huo!

Pole sana kwa Changamoto hiyo Mkuu!
Haya mambo yanauma sana.
Leo nimekaa zangu chini ya kivuli nimevunja muwa naula taratibu. Mara nasikia kelele kuku wanakimbia. Walikuwa wamejipumzikia kwenye vivuli nikanyanyuka naona mbwa anatokomea na kuku. Wakuu hebu niambieni dawa gani au sumu nikiiweka kwenye nyama kazi imeisha.
 
Pole sana mkuu
 
UBAYA UBWELA...! Tafuta nyama kilo1. Pamoja na Sindano zile za kushonea Nguo, Kata Kata vipande hiyo nyama na kila kipande zamisha Sindano moja tu! kisha ziweke kwenye njia zao wanakopita hao Mbwa! akila hiyo itamchukua wiki Moja au Mbili kufa! ataanza kuumwa kama Mgonjwa wa Ebola, atanyonyoka taratibu na mwisho kujifia tu!
Mbinu hiyo ni nzuri maana hata kama ni Mbwa wa jirani hautapata lawama na hakuna atakaedhani kama wewe ndio umefanya Ubaya huo!

Pole sana kwa Changamoto hiyo Mkuu!
Mipaka shume je ?
 
Unalalamika mbwa!
paka pori hawali mayai wao wanasepa na kuku kabisa halafu wanakuja night kali umelala..
Mzee wangu kawapiga risasi hao paka shume na mbwa usiku waliobaki walikuwa hawasogei kabisa maeneo ya banda hata nyumbani hawapiti
 
Naomba niwape mrejesho. Juzi mnakumbuka nilikuja hapa kuwambia nikiwa nimekaa zangu chini ya mti mbwa kamkurupusha na kumbeba kuku. Nikakimbilia kuangalia kulikoni namwona mbwa amembeba kuku wangu na kwa umbali uliopo na spidi zake nisineweza kumkamata. Nikarudi home, kuna madogo walikuwa shamba nyuma ya nyumba nikawapa briefing. Nikatangaza kiyama cha mbwa. Nikadhamiria kwenda kununua sumu maana lazima wangekuja tena, na usiku tukilala lazima waje warande rande kuzunguka nyumba. My first born akaniambia baba usiumize kichwa nitakuonyesha cha kufanya.

Usiku nikiwa nimechoka na kazi za shamba, nikawahi zangu kulala. Dogo akachukua mabaki ya chakula akatia mchuzi wa nyama, akachukua dawa za magugu (paraforce) na dawa za nyanya. Akazimwagia kwenye chakula akakoroga vya kutosha akaenda kukiweka sehemu wanapopitaga. Siku tatu zimepita sasa hakuna anayemwona mbwa akikatiza na wala usiku hatusikii vibweko vya mbwa mtaani. Mazingira yalivyo ni kwamba nilipojenga mm hakuna nyumba karibu, nyumba ya karibu sana ni mita 300. Nimewatangazia wanafamilia hakuna kuzungumzia issue ya mbwa mtaani wasije wakajua kama kuna mbwa kafa wasije wakaunganisha dots.

Wataalam kama mnajua impact ya zile dawa kwa wanyama mlete ufafanuzi. Maana ile dawa ukipiga kwenye majani shambani yanaungua ndani ya siku mbili unaona matokeo, na ukipiga vizuri asubuhi jioni unaona majani yameshaanza kubadilika. Sasa imagine tumboni mwa mnyama inakuwaje
 
Mipaka shume je ?
Paka Shume ukimtegea Sumu anatapika,
fanya yafuatayo:
1. Chukua Samaki wakavu wachemshe
2. Chukua chupa iponde ponde upate vipande vidogo vidogo.

Mwisho Kwa kutumia ule mchuzi wa samaki mkavu songa Ugali, Maji ya ugali yawe ule mchuzi kisha changanya hivyo vipande vya chupa kuusonga huo ugali wako.
Ukishaiva pakua matonge kwa kadri utakavyoona inafaa weka kwenye njia anazopendelea kupita! akila ugali huo atanyonyoka manyoa na mwisho atakufa! vile vipande vya chupa hana ujanja wa kutapika.
 
Back
Top Bottom