Mbwa wakali wa ulinzi (mali dutchie puppies)

Baba Tee

Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
6
Reaction score
10
Ninauza mbwa wakali kwa ajili ya ulinzi

Aina: MALI DUTCHIE DOG
Mbwa hawa ni mchanganyiko wa baba yao ambae ni Dutch Shepherd na mama yao ambae ni Belgian Malinois

Umri : 3.5months

Bei: 300,000/- kwa mbwa mmoja wamekwishapata chanjo

Walipo: Kigamboni-Kibada

Mawasiliano: 0713621678 au 0712632465

Sifa za hawa mbwa:
1. Ni mbwa wenye akili na wanafaa kuishi na familia
2. Wakali sana, hapa uhakika wa ulinzi upo. Mtu akipita tu nje lazima abweke
3. Wanapenda michezo
4. Kama unataka kampani ya mazoezi asbh au jioni huyu mbwa anakufaa

N.B: Hawa ni mbwa ambao wako active sana na wananguvu. Hautajutia kuwa nao kwaajili ya ulinzi nyumbani kwako.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Mama yao huyu hapa chini
 
Attachments

  • IMG_0380.jpeg
    1.3 MB · Views: 25
  • E7CA61AC-5843-4DB5-AC66-36D428E232BE.jpeg
    832.1 KB · Views: 23
  • IMG_0029.jpeg
    1.2 MB · Views: 21
View attachment 2806556View attachment 2806562Ninauza mbwa wakali kwa ajili ya ulinzi

Aina: MALI DUTCHIE DOG
Mbwa hawa ni mchanganyiko wa baba yao ambae ni Dutch Shepherd na mama yao ambae ni Belgian Malinois

Mama yao huyu hapa chini
Uwezo wao wa kutunza kumbukumbu ukoje? Isijekuwa kama wale pitbulls na rottweiler ambao wakiwa na njaa kumbukumbu inapotea, hawajui mgeni wala mwenyeji.
 
Uwezo wao wa kutunza kumbukumbu ukoje? Isijekuwa kama wale pitbulls na rottweiler ambao wakiwa na njaa kumbukumbu inapotea, hawajui mgeni wala mwenyeji.
Mkuu kuhusu memory wako vizuri kwasababu wazazi wao wako very active, ila tu hawa mbwa kwasababu wanapenda sana michezo ukiwaacha na watoto uwe nao karibu sana. Wanapenda kung'ata wakidhani wanacheza kumbe wanamuumiza.
 
kwema ....hivi hawa mbwa bado wapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…