Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
😄😄😄😄😄ungetoka nje afu ukasimama kati kati ya bara bara afu wakikubwekea sema MAJIIIIIII MAJIIIIIIII MAJIIIIIII wenyewe watakukimbia na kutawanyika
Me naona kama mtu huwezi kufuga ni bora uache tu asa ndo nini hiki kama sio kujichumia dhambi
Ahahahahaha .ungetoka nje afu ukasimama kati kati ya bara bara afu wakikubwekea sema MAJIIIIIII MAJIIIIIIII MAJIIIIIII wenyewe watakukimbia na kutawanyika
Heshima zenu wakuu!
Wanajamvi jana imetokea sokomoko mtaani mida ya saa 9:05 usiku kundi la mbwa linatembea huku wakibweka, wengine huenda waliachwa nyuma wakawa wanipita mmoja na wengine wawili nakumbuka kuna wengine walikuja dirishani kubweka dah!
Sijawah experience hili jambo, hivi wajuzi wa mambo inawezekana mbwa wakatembea kwa makundi na hata kufatana?
Itakuwa raisi wao ni mwanamke😁😁😁Maandamano, kuna namna viongozi wao wanazingua, fuatilia mambo yao ya uchaguzi utajua sababu, poleni sana.
Wakihisi mmebeba misosi ya harusini, hawawaachi.Heshima zenu wakuu!