Mbwa wamezua balaa!usiku wa manane mtaani kwetu

Kama umesoma biology basi utaelewa nini kilichoendelea hapo.
Yaani kuna jike lilimwaga uteute wa kuwavutia madume.
Sasa na menyewe kwa kunusa sio poa ndio maana yakajazana.
Ila wakianza kudinyana wakanasana hata kama uwapige mawe hawaachani wanakimbia hivyo hivyo huku wamenasana
Way back kipindi tupo shule ya msingi kuna mwamba alichukuaga pamba akaunasa ule ute afu akafunga kwenye fimbo akawa anatembea nayo mtaaani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao wapo kwenye msimu wa kupandana wanajikusanya wengii na wanakua na akili za ajabu sana. Sitasahau miaka ya nyuma kidogo nikiwa mkoani kwangu nilipokulia nilikua nafuga kondoo. Sasa bhana kwenye kuchunga nipo maeneo ya mashambani nikaona kundi la mbwa wakipandana na kukimbizana haikupita muda mbwa wale wakahamishia hisia zao kwenye kondoo wangu dah waliwakimbiza wakadaka kondoo wawili wakawang'ata miguu ya nyuma moja dume na mwingine jike alikua na mimba bahati nzuri kulikua na watu wakasaidia kupiga na kufukuza ila kondoo wangu walijiuguza kwa muda wa wiki mbili wakapona.

Kile kitu kiliniumiza roho sana nikaanza kuwasaka machimbo yao tulijikusanya wafugaji watatu mzee mmoja alikua na mshale mm panga na faza mmoja alikua na mkuki wale mbwa tuliwauwa kadhaa na yukapata msaada wa mamlaka ya mji mdogo wakapigwa risasi wakafa japo sio wote ila nilipunguza machungu....

Mbwa wakiwa msimu wa kupandana wanakua hawana akili kabisa sishangai hao waliokuja kubweka dirishani kiufupu wanamiyeyusho sana cha ajabu msimu ukiisha akili zao zinarudi timamu
Afu wakipandana huwa wananasiana[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
 
Hiyo kawaida nilishapiga rungu pale kati mbwa dume hakuweza hata kukimbia jike nae ilikua ni milio tu kama ambulance Mungu anisamehe ila kwenye makuzi yangu wanyama wamepata tabu sana sio paka mbwa tumbili yaani kuku ndio kabisaaaa nadaka nanyonyoa manyoya alafu unamuachia😂😂😂
 
Way back kipindi tupo shule ya msingi kuna mwamba alichukuaga pamba akaunasa ule ute afu akafunga kwenye fimbo akawa anatembea nayo mtaaani[emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuaje mkuu 😀😀😀😀???
 
Hiyo kawaida nilishapiga rungu pale kati mbwa dume hakuweza hata kukimbia jike nae ilikua ni milio tu kama ambulance Mungu anisamehe ila kwenye makuzi yangu wanyama wamepata tabu sana sio paka mbwa tumbili yaani kuku ndio kabisaaaa nadaka nanyonyoa manyoya alafu unamuachia😂😂😂
Umenikumbusha mbali mkuuu.
Wayback zamani hizo home tulikuwa tunafuga bata sasa sijui hata niliwaza nini nikaona dumu lina petrol mzee aliliweka nadhani petrol ile ilikuwa ni ile imetolewa kwenye gari maana enzi hizo zilikuwa zile za kuchakachua petrol.

Nikapita nayo direct hadi kwenye banda la bata ,
Kuna jike la bata nililikuta nikalimwagia petrol halafu nikafata kiberiti na maji baada ya kuwasha kiberiti na kumuona yule bata anaweweseka na moto nikamwagia maji.😁😁😁

Sista aliyekuwa ni mwenye bata alilia kichiz,roho ikaniuma sana.

Nyingine niliwahi kuwategea njiwa wa nyumbani mtego wa ndege ule wa triangle nikaweka nafaka katikati ya mtego.si njiwa wakajaa nikafyatua mtego.
Kuna waliovunjika miguu wakaishia kuwa vilema.
Mwenye njiwa alilia sana.

Hizo ni enzi zangu za utukutu.
😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣
 
Hao wapo kwenye msimu wa kupandana wanajikusanya wengii na wanakua na akili za ajabu sana. Sitasahau miaka ya nyuma kidogo nikiwa mkoani kwangu nilipokulia nilikua nafuga kondoo. Sasa bhana kwenye kuchunga nipo maeneo ya mashambani nikaona kundi la mbwa wakipandana na kukimbizana haikupita muda mbwa wale wakahamishia hisia zao kwenye kondoo wangu dah waliwakimbiza wakadaka kondoo wawili wakawang'ata miguu ya nyuma moja dume na mwingine jike alikua na mimba bahati nzuri kulikua na watu wakasaidia kupiga na kufukuza ila kondoo wangu walijiuguza kwa muda wa wiki mbili wakapona.

Kile kitu kiliniumiza roho sana nikaanza kuwasaka machimbo yao tulijikusanya wafugaji watatu mzee mmoja alikua na mshale mm panga na faza mmoja alikua na mkuki wale mbwa tuliwauwa kadhaa na yukapata msaada wa mamlaka ya mji mdogo wakapigwa risasi wakafa japo sio wote ila nilipunguza machungu....

Mbwa wakiwa msimu wa kupandana wanakua hawana akili kabisa sishangai hao waliokuja kubweka dirishani kiufupu wanamiyeyusho sana cha ajabu msimu ukiisha akili zao zinarudi timamu
ahsante kwa elim
 
Heshima zenu wakuu!

Wanajamvi jana imetokea sokomoko mtaani mida ya saa 9:05 usiku kundi la mbwa linatembea huku wakibweka, wengine huenda waliachwa nyuma wakawa wanipita mmoja na wengine wawili nakumbuka kuna wengine walikuja dirishani kubweka dah!

Sijawah experience hili jambo, hivi wajuzi wa mambo inawezekana mbwa wakatembea kwa makundi na hata kufatana?
Majinni hayo.
 
Kama umesoma biology basi utaelewa nini kilichoendelea hapo.
Yaani kuna jike lilimwaga uteute wa kuwavutia madume.
Sasa na menyewe kwa kunusa sio poa ndio maana yakajazana.
Ila wakianza kudinyana wakanasana hata kama uwapige mawe hawaachani wanakimbia hivyo hivyo huku wamenasana

Hii comment ni ya mpenda ngono
 
Back
Top Bottom