Mbwa wamezua balaa!usiku wa manane mtaani kwetu

Way back kipindi tupo shule ya msingi kuna mwamba alichukuaga pamba akaunasa ule ute afu akafunga kwenye fimbo akawa anatembea nayo mtaaani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afu wakipandana huwa wananasiana[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
 
Afu wakipandana huwa wananasiana[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
Hiyo kawaida nilishapiga rungu pale kati mbwa dume hakuweza hata kukimbia jike nae ilikua ni milio tu kama ambulance Mungu anisamehe ila kwenye makuzi yangu wanyama wamepata tabu sana sio paka mbwa tumbili yaani kuku ndio kabisaaaa nadaka nanyonyoa manyoya alafu unamuachiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Way back kipindi tupo shule ya msingi kuna mwamba alichukuaga pamba akaunasa ule ute afu akafunga kwenye fimbo akawa anatembea nayo mtaaani[emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuaje mkuu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€???
 
Umenikumbusha mbali mkuuu.
Wayback zamani hizo home tulikuwa tunafuga bata sasa sijui hata niliwaza nini nikaona dumu lina petrol mzee aliliweka nadhani petrol ile ilikuwa ni ile imetolewa kwenye gari maana enzi hizo zilikuwa zile za kuchakachua petrol.

Nikapita nayo direct hadi kwenye banda la bata ,
Kuna jike la bata nililikuta nikalimwagia petrol halafu nikafata kiberiti na maji baada ya kuwasha kiberiti na kumuona yule bata anaweweseka na moto nikamwagia maji.😁😁😁

Sista aliyekuwa ni mwenye bata alilia kichiz,roho ikaniuma sana.

Nyingine niliwahi kuwategea njiwa wa nyumbani mtego wa ndege ule wa triangle nikaweka nafaka katikati ya mtego.si njiwa wakajaa nikafyatua mtego.
Kuna waliovunjika miguu wakaishia kuwa vilema.
Mwenye njiwa alilia sana.

Hizo ni enzi zangu za utukutu.
😁😁😁😁😁😁🀣🀣🀣🀣
 
ahsante kwa elim
 
Majinni hayo.
 

Hii comment ni ya mpenda ngono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…