Mmmmmmm mkuu hayo ndo majibuKwenye mkataba wake na wewe kuna vipengele hujatimiza ndiyo maana kagoma.
Tangu nianze kumfuga cjampa dawa yoyoteMara ya mwisho kumpa dawa za minyoo ni lini?
Umempiga chanjo ya pavo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chakula unachokula wewe ni nini maana unaweza kula ugali na maharage mbwa kagoma.
Chakula unachokula wewe ni nini maana unaweza kula ugali na maharage mbwa kagoma.
Ahsante aisee mmenichekesha maana hata mimi nilitaka kumuuliza isije ikawa kala wali kisamvu akampaka na mbwa
Habari za leo. Nimeamua kuwa mfugaji wa mbwa lakini nimepata changamoto kidogo, mbwa amegoma kula siku mbili sasa.
Mwenye utaalamu anisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app