Mbwa wangu amegoma kula siku mbili sasa

Mbwa wangu amegoma kula siku mbili sasa

Utakuwa unamtenga wakati Wa kula, jaribu kukaa naye meza moja na ikiwezekana pakua chakula sahani moja nawote mle kwa pamoja, labda atakuwa anajiona mpweke akiendelea kugoma jaribu kukaaa meza moja ya mazungumzo kila mmoja atoe dukuduku lake has a yeye mbwa kwanini akatae kula anaweza kukueleza sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hutapata majibu sahihi, hapa hakuna madokta wa mifugo, tunaongea tunachojiskia tu.. Mtafute mtaalamu atakupa ushaur mzuri tu💪
 
Habari za leo. Nimeamua kuwa mfugaji wa mbwa lakini nimepata changamoto kidogo, mbwa amegoma kula siku mbili sasa.

Mwenye utaalamu anisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kabisa naomba umri wa huyo Mbwa, 2 jinsia yake,3 ulianza kumfuga akiwa na umri gani?4 ulikuwa unampa chaklula
cha aina gani,5 dawa za minyoo ulimpatia lini?6 usafi wa mabanga na vyombo vya kulia ukoje,6 akijisaidia haja kubwa inatoka na rangi gani? Nijibu hapo kwanza halafu ndio tufwate ushauri mwingine.
 
Tangu nianze kumfuga cjampa dawa yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa ww si mfugaji wa huyo mbwa ila mbwa anaishi nyumba moja na ww, mbwa anapewa chanjo na dawa zote kwa ukaribu kabisa sio kumfungia ndani na kusema ni mbwa wako si kweli. mpe dawa na chanjo mbalimbalimkama utakavyoelekezwa na mtaalamu wa mifugo kutoka idara husika.
pia zingatia chakula chake kiwe bora sio unamrushia ugali tu unasema unampa chakula
 
Back
Top Bottom