Kwenye mkataba wake na wewe kuna vipengele hujatimiza ndiyo maana kagoma.
Habari za leo. Nimeamua kuwa mfugaji wa mbwa lakini nimepata changamoto kidogo, mbwa amegoma kula siku mbili sasa.
Mwenye utaalamu anisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Awe anaanza kula kwanza ,wewe ufuatie,utanawili na kuchangamka mnooooo
Achamchanganyie hoho na pilipili mbuzi.Wewe unampa ugali halafu unasema amegoma kula? mpe maini uone kama atagoma!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] we jamaaChakula unachokula wewe ni nini maana unaweza kula ugali na maharage mbwa kagoma.
Kuna majibu ya watu ukiyasoma unafikiri uko Facebook Moja kwa moja.
Hawako serious mizaha mingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kabisa naomba umri wa huyo Mbwa, 2 jinsia yake,3 ulianza kumfuga akiwa na umri gani?4 ulikuwa unampa chaklulaHabari za leo. Nimeamua kuwa mfugaji wa mbwa lakini nimepata changamoto kidogo, mbwa amegoma kula siku mbili sasa.
Mwenye utaalamu anisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa ww si mfugaji wa huyo mbwa ila mbwa anaishi nyumba moja na ww, mbwa anapewa chanjo na dawa zote kwa ukaribu kabisa sio kumfungia ndani na kusema ni mbwa wako si kweli. mpe dawa na chanjo mbalimbalimkama utakavyoelekezwa na mtaalamu wa mifugo kutoka idara husika.
Chakula unachokula wewe ni nini maana unaweza kula ugali na maharage mbwa kagoma.