Mtaalamu wa mambo
Member
- Nov 23, 2020
- 58
- 96
Mbwa wangu hana maana, unaweza kufikiria mimi
na mbwa wangu tulikimbizwa na mbwa.
na mbwa wangu tulikimbizwa na mbwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli aisee huyo Mbwa ni Umbwa mkubwa kabisaMbwa wangu hana maana, unaweza kufikiria mimi
na mbwa wangu tulikimbizwa na mbwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu Nani alikuwa mbeleMbwa wangu hana maana, unaweza kufikiria mimi
na mbwa wangu tulikimbizwa na mbwa.
😀😀😀😀Sasa Kama mwenyewe umetishiwa ukakimbia kwanini na yeye asikimbie[emoji23].
Huenda alijua ndo mnacheza [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu Nani alikuwa mbele
hata mm nimecheka sana, hao ni wale mbwa unaweza ingia naye Msikitini[emoji23][emoji23][emoji23] mleta uzi na wachangiaji asanteni kwa kunichekesha!
Al ahlyhata mm nimecheka sana, hao ni wale mbwa unaweza ingia naye Msikitini
Mbwa Koko hana MaanaMbwa wangu hana maana, unaweza kufikiria mimi
na mbwa wangu tulikimbizwa na mbwa.
Bilashaka atakuwa mbwa wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu Nani alikuwa mbele