ranchoddas
Senior Member
- Mar 27, 2015
- 114
- 56
Mkuu hata huyo Barthez uliyempendekeza kadaka mechi kama 8 au 9 za mzunguko wa pili wa ligi, mzunguko wa kwanza wote Dida alisimama langoni.
Unaweza kuthibitisha? Kadaka mechi hizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hata huyo Barthez uliyempendekeza kadaka mechi kama 8 au 9 za mzunguko wa pili wa ligi, mzunguko wa kwanza wote Dida alisimama langoni.
kwani mtu mpaka avae mazagazaga ndio aonekane kichaaMbwana Makatta Kaifundisha Prison Mechi Nne tu na sio Saba jamani
Hahahahah hioo ndio...BongoLand kudadeki Kocha bora ni ALIEINUSURU TIMU KUSHUKA DARAJA na sio ALIEIPA TIMU UBINGWA hahhaha Tanzania tunazidi...kudhihirisha UMBUMBUMBU wetu.....
Eti.kigezo.:NIDHAMU??? Morinyo anapigwa fain.mara ngapi kwa utovu wa nidhamu??Lakin mwisho wa siku kabeba ndoo...Yeye kocha bora + Mchezaji bora Hazard....
Kwa kweli mimi ni Simba dam.ila Kocha wa YANGA ndio.alistahili TUZO ..Yanga ilkua bora sana msimu huu....kwa sababu ya mfumo wa kocha....
Haya njoo kwa Mchezaji bora sasa ucheke vigezo....MSUVA ANASTAHILI KABISA hilo sipingi kwa sababu ana credit ya ufungaji bora + ubingwa ...
Hivi ROLE au mchango wa Emanuel Okwi vs Tshabalala unaweza kulingana..kweli???katika kuibeba timu??
Dah kwa upande wangu Okwi kafanya makubwa simba...msimu huu...
Kuna haja ya kuajiri watu Professional katika mambo haya jamani Watanzania tukubali tumeshindwaa tuu!!
we kwel mwanamichezo safi sana
tff mmechemsha kwa hili ,na mkubali .wote wanajua bora hata kocha wa mgambo alikua bora mpaka kachaguliwa stars b.kwenye ukweli ushabiki lazima uwekwe kando kabisaa!!!
Unaweza kuthibitisha? Kadaka mechi hizo?