Hahahahah hioo ndio...BongoLand kudadeki Kocha bora ni ALIEINUSURU TIMU KUSHUKA DARAJA na sio ALIEIPA TIMU UBINGWA hahhaha Tanzania tunazidi...kudhihirisha UMBUMBUMBU wetu.....
Eti.kigezo.:NIDHAMU??? Morinyo anapigwa fain.mara ngapi kwa utovu wa nidhamu??Lakin mwisho wa siku kabeba ndoo...Yeye kocha bora + Mchezaji bora Hazard....
Kwa kweli mimi ni Simba dam.ila Kocha wa YANGA ndio.alistahili TUZO ..Yanga ilkua bora sana msimu huu....kwa sababu ya mfumo wa kocha....
Haya njoo kwa Mchezaji bora sasa ucheke vigezo....MSUVA ANASTAHILI KABISA hilo sipingi kwa sababu ana credit ya ufungaji bora + ubingwa ...
Hivi ROLE au mchango wa Emanuel Okwi vs Tshabalala unaweza kulingana..kweli???katika kuibeba timu??
Dah kwa upande wangu Okwi kafanya makubwa simba...msimu huu...
Kuna haja ya kuajiri watu Professional katika mambo haya jamani Watanzania tukubali tumeshindwaa tuu!!