Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya Spain.

chocho bado zipo ? ila watu wabishi aisee.....
 
Nimesikitika sana baada ya kupata hizi tarifa jana. Mia
 
hawa watu waandishi wa bongo ovyo sana mbona kunamwandishi mwenzao amekatwa na madawa huko india awamwandiki ? Waache upendeleo. Kukiliwa kwa mwali na kwakungwi pia kuliwe.
 
Wewe unaeza kujikamata mwenyewe?

Kwa hiyo ina maana polisi wa Spain, South Africa, HongKong n.k ndio wanaowatumia hawa punda?

Mimi nilitegemea vitengo vya polisi vya huko kwa kushirikiana na Interpol wangekuwa wanawatia nguvuni hata hao wadosi wanaowatumia hawa vijana.
 
bora washikwe hukohuko nchi za watu ndo sheria iatawabana vizuri-hapa tz hakuna wa kuwakamata
 
hii biashara imeota mizizi... Hakika nawambia familia zikufa na njaa hapo dar endapo MWAKYEMBE atakomaa..
 
mbona mimi nimesoma Mwananchi ,Tanzania Daima, Daily News sijaiona hiyo Habari, Je unaweza kunijuza ni gazeti gani linahiyo habari nikasome ? pantheraleo
 
Last edited by a moderator:
Mods unganisha huu uzi naule unao muhusi huyu Shomari kimbau na Kinje
 
ahh huyu jamaa si ni police au aliacha IGP kazi unayo.police kawa punda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…