Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya Spain.

Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya Spain.

Duh jamaa kaona issue za kutwangana mangumi hayana mpango ha ha ha ha ha vijana kwa kupenda maisha ya raha bila jashoo ndiyo matokeo yake hayo.
 
UZUSHI WA MBWANA MATUMLA KUNASWA NA UNGA HISPANIA WAWASHANGAZA WENGI
Wiki iliyopita ilihitimika kwa redio moja kutangaza habari kwamba mmoja wa wanafamilia ya mzee Matumla, Mbwana Matumla amenaswa na unga nchini Hispania na kuwashangaza wengi.
Watu waliozungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki walisema kwamba walishangaa kusikia habari hiyo huku wakiwa wanamwona Mbwana mitaani.
“Sasa huyu kakamatwa Hispania huku tukiwa tunamwona mitaani, maana yake nini jamani? Alihoji msomaji wetu mmoja na kuongeza kwamba, yeye alikutana na bondia huyo siku tano nyuma.
Ijumaa Wikienda lilimsaka Mbwana kwa njia ya simu yake ya mkononi bila mafanikio, lakini lilipomtafuta kaka mtu, Rashid Matumla, Jumamosi iliyopita alisema Mbwana amejaa tele nyumbani kwake, Gongo la Mboto, Dar.

source Global Publisher
 
bangi hizi. hao global jana waliandka kua wamempgia kaka ake rashidi na akasema amemtafta mbwana kwa siku kumi lakini hajampata,leo mtu huyo huyo anasema amejaa tele!
 
mimi pia uwa siwaelewi

Hutokaa uwaelewe Shigongo naye ni miongoni mwa mtandao wa wauza unga, ndio maana alishika bango kuwaanisha wajinga na wavivu wa kufikiri kwamba kila mwenye pesa zenye walakini ni Freemasson lakini watu wenye akili zetu timamu tunafahamu fika hakuna cha Freemasson bali ni magenge ya wauza.
 
Ona mnavowafuta vumbi watu kwa kutumia masizi,eti kaonekana mtaani ndo mnajipanga kujisafisha kwa style hii.
 
Hii habari mnaionaje wadau ?
... Inaonekana mtandao ni mpana sana !
 
Back
Top Bottom