Mbwana Samata ajenga kituo cha watoto yatima, kuzinduliwa March

Wengine hatujatimiza majukumu yetu ipasavyo inasababisha mtu mmoja anajenga nyumba ya kulea watoto wengi, dini ya uislam inataka yatima wakaishi majumbani kwa watu na sio kwenye vituo, kama wananchi wenye uwezo wangegawana mayatima kusingekuwa na sababu ya vituo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…