Mbwana Samata anazidi kung'ara Genk

Mbwana Samata anazidi kung'ara Genk

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Jana tena,Mshambuliaji machachari wa Genk kutoka Tanzania,ameisaidia timu yake kushinda zidi ya timu ya Waasland bao 3-2,Genk walikuwa nyuma ya bao moja kabla Mbwana Samata hajafunga Goal lake ambalo lilirudisha matumaini na kuwapa nguvu ya kushambulia zaidi,kitu kilichosababisha Waasland kujifunga.Mpaka dk 90, Genk 3-2 Waasland
 
Anajua sana sema sijui kama Genk watakubali kumuuza maana ana mkataba mpaka 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
Genk kwenye kuuza wachezaji hawana hiyana! Wakiona biashara nzuri wanamuuza tu! Nakukumbusha tu De Bruyne na Thibaut wametoka Genk! Wakati Samatta anafika Genk, kuna striker wa kituruki alikuwa vizuri sana Kiasi samatta akawa anaanzia bench, jamaa nae aliuzwa nadhan Bundes Liga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Kiumbe kinaitwa Kelvin Pius John ni moto zaidi ya Samatta,alelewe vizuri tuu yule dogo...
 
Back
Top Bottom