PAZIA 3
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 1,102
- 1,919
Jana tena,Mshambuliaji machachari wa Genk kutoka Tanzania,ameisaidia timu yake kushinda zidi ya timu ya Waasland bao 3-2,Genk walikuwa nyuma ya bao moja kabla Mbwana Samata hajafunga Goal lake ambalo lilirudisha matumaini na kuwapa nguvu ya kushambulia zaidi,kitu kilichosababisha Waasland kujifunga.Mpaka dk 90, Genk 3-2 Waasland