Genk kwenye kuuza wachezaji hawana hiyana! Wakiona biashara nzuri wanamuuza tu! Nakukumbusha tu De Bruyne na Thibaut wametoka Genk! Wakati Samatta anafika Genk, kuna striker wa kituruki alikuwa vizuri sana Kiasi samatta akawa anaanzia bench, jamaa nae aliuzwa nadhan Bundes Liga!Anajua sana sema sijui kama Genk watakubali kumuuza maana ana mkataba mpaka 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Akacheze azam au mtibwa uku akiwa ana tafutiwa nafas tp mazembe na al alhyKuna Kiumbe kinaitwa Kelvin Pius John ni moto zaidi ya Samatta,alelewe vizuri tuu yule dogo...
Mechi 5 goli 8..Jamaa mwaka huu ana kismati cha magoli balaaaah!!!
yupo wapi huyo mkuu?Kuna Kiumbe kinaitwa Kelvin Pius John ni moto zaidi ya Samatta,alelewe vizuri tuu yule dogo...
hivi unafanyaga kazi saa ngapi muda wote uko JFMungu azidi kukuongoza Mbwana
Nikiishiwa na pesa nita ku PMhivi unafanyaga kazi saa ngapi muda wote uko JF
Yule bwana mdogo yuko vizuri sanaKuna Kiumbe kinaitwa Kelvin Pius John ni moto zaidi ya Samatta,alelewe vizuri tuu yule dogo...
wewe tena...hata bilioni nitakupa....Chochote unachotaka sema nitakupaNikiishiwa na pesa nita ku PM