Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Naangalia game ya Genk v/s Naple Mbwana Samata kapewa u captain , ukiona mtu mweusi kapewa unahodha kwenye kundi la mabeberu ujue anakubalika,
hongera Captain Diego
hongera Captain Diego
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awafunge basi hao WaitaliaNaangalia game ya Genk v/s Naple Mbwana Samata kapewa u captain , ukiona mtu mweusi kapewa unahodha kwenye kundi la mabeberu ujue anakubalika,
hongera Captain Diego
Magazeti ya kesho
"......Ameweka rekodi ya Mtanzania wa kwanza kuvaa kitambaa cha unahodha na kuiongoza timu yake kutoka sare na timu ngumu ya kutoka ligi kuu ya Italia"
Tokea 2016 niliacha kununua magazeti..Magazeti ya kesho
"......Ameweka rekodi ya Mtanzania wa kwanza kuvaa kitambaa cha unahodha na kuiongoza timu yake kutoka sare na timu ngumu ya kutoka ligi kuu ya Italia"
Kijana kutoka uswazi Mbagala apewa unahodha Ulaya kwa badhungu.Magazeti ya kesho
"......Ameweka rekodi ya Mtanzania wa kwanza kuvaa kitambaa cha unahodha na kuiongoza timu yake kutoka sare na timu ngumu ya kutoka ligi kuu ya Italia"
Ujinga wao ni kwamba lazima waweke habari ya Simba na Yanga front pageTokea 2016 niliacha kununua magazeti..
Kilichoniudhi si sports news ni Front pages
Kwani uongo?acheni majunguMagazeti ya kesho
"......Ameweka rekodi ya Mtanzania wa kwanza kuvaa kitambaa cha unahodha na kuiongoza timu yake kutoka sare na timu ngumu ya kutoka ligi kuu ya Italia"
Labda PortugalGenk hawajai kupata striker kama Captain Diego miaka mingi sana...msimu huu uwe mwisho wamwachie aende ligi kubwa
Ujinga wao ni kwamba lazima waweke habari ya Simba na Yanga front page
Majungu yapo wapi hapo bro?Kwani uongo?acheni majungu
Kevin Oghenetega Tamaraebi Bakumo-Abraham... known as Tammy Abraham wa Chelsea .Huyu Tammy anamzidi nini captain Diego.jana TV ya France imeitaja Tanzania mara 50 ....acha wivu wa kikeLabda Portugal
muzee punguza munkhari.Kevin Oghenetega Tamaraebi Bakumo-Abraham... known as Tammy Abraham wa Chelsea .Huyu Tammy anamzidi nini captain Diego.jana TV ya France imeitaja Tanzania mara 50 ....acha wivu wa kike