Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Sisalimii mtu yeyote humu, kama taifa bado hatuna mchezaji yeyote mzawa anaecheza nje au ndani ya Tanzania anayefikia uwezo wa Samata mzee wa sasa hata kwa asilimia 30 tu, bisha kubali lakini ukweli ndio huo