Kama unampenda,kampe....
Mkuu, ni vyema tukajadili kwa Hoja kwa faida ya SOKA letu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unampenda,kampe....
Half American hukumwaga maelezo chief kazi ya kuhudumia maiti mshahara dola 2500Kazi na umri mkuu, Samata ni mchezaji mzuri na mwenye profile kubwa ila kwa sasa hana mchango wa manufaa kwa timu yetu ya taifa.
Alienishirikisha bado haeleweki mkuu.Half American hukumwaga maelezo chief kazi ya kuhudumia maiti mshahara dola 2500
Yaani wewe mtu wa mpira halafu unauliza swali kama hilo?Kwann hao wakna wazir jr na wengne hawaingii kwenye hyo cicle unayoisema? wao wanashndwa wap?
Jbu n kwamba hawana uwezo hata 20% ya huyo mzee, ronaldo anamiaka karbia 40 na anaitwa kwenye timu yenye vpaj kbao,sisi bado hatuna jeur hyo kubal kataa na watamrudsha mambo yakiwa magumuYaani wewe mtu wa mpira halafu unauliza swali kama hilo?
Sahihi kabisa. Ni wakati wa kujenga kikosi kipya ili AFCON tutakayohost tuwe na kikosi cha ushindani. Niliwahi kuuliza hivi ni lini mara ya mwisho Samatta kafunga goli timu ya taifa mbona kitambo sana.Wengi hawalijui hili hata Thomas Ulimwengu ni hivyo hivyo.
Kwa umri wa samata kwa sasa ni ngumu sana kutupa tunachotaka uwanjani, ni zamu ya chipukizi kupewa nafasi.
Swali la msingi kwa mleta mada ni kuwa tutamtegemea yeye mpaka lini? Au anadhani atacheza milele?
Ni lazima kujiandaa kupata replacement mapema hata kama mchezaji ni muhimu sana kwenye timu maana utafika muda ni lazima atafeli kutimiza malengo ya timu uwanjani. Tusisahau mpira wa miguu ni mchezo wa kutegemeana as a team.
Hilo ni jibu lako ila siyo jibu sahihi.Jbu n kwamba hawana uwezo hata 20% ya huyo mzee, ronaldo anamiaka karbia 40 na anaitwa kwenye timu yenye vpaj kbao,sisi bado hatuna jeur hyo kubal kataa na watamrudsha mambo yakiwa magumu
Nakataaa kabsaaSisalimii mtu yeyote humu, kama TAIFA bado hatuna mchezaji yeyote mzawa anaecheza nje au ndani ya TANZANIA anaefikia uwezo wa SAMATA MZEE WA SASA hata kwa asilimia 30 tu, bisha kubali lakini ukweli ndo huo
Samatta alishajiishia kitambo, kabaki jina tu.Sisalimii mtu yeyote humu, kama TAIFA bado hatuna mchezaji yeyote mzawa anaecheza nje au ndani ya TANZANIA anaefikia uwezo wa SAMATA MZEE WA SASA hata kwa asilimia 30 tu, bisha kubali lakini ukweli ndo huo
Ni muda mrefu ila kwa umri alio nao ni ngumu sana kubaki na ubora aliokuwa nao misimu michache iliyopita.Sahihi kabisa. Ni wakati wa kujenga kikosi kipya ili AFCON tutakayohost tuwe na kikosi cha ushindani. Niliwahi kuuliza hivi ni lini mara ya mwisho Samatta kafunga goli timu ya taifa mbona kitambo sana.
Naunga,mkono hojaKazi na umri mkuu, Samata ni mchezaji mzuri na mwenye profile kubwa ila kwa sasa hana mchango wa manufaa kwa timu yetu ya taifa.
kazi na umriNaunga,mkono hoja
Naunga mkono hojaKama unampenda,kampe....
Samatta anatakiwa kuwa kiongozi kwenye timu ya Taifa,,vijana wapate hamasa na uzoefu kutoka kwake ni vyema akaitwa lakini asitegemewe sana....uwepo wake uwe chachu ya mafanikio kwa vijana,maana timu ikiwa na vijana watupu utoto unakuwa mwingi.....Tanzania kuna wachezaji wazuri wenye vipaji vikubwa lakini hawana nafasi kuna vijana wengi wanaitwaga sana timu ya Taifa na hawachezi sijui kwa nini?
kocha aanze kujenga timu ya miaka kumi mbele sasa na sio kuita wachezaji kibao wanaenda kutalii na kula pesa za wananchi bure bila kulitumikia Taifa.
Ukpewa samata na mzize pamojb na wazr junior usajili kwa timu yako kwa performance zao za sasa unamsajili nani?Ni muda mrefu ila kwa umri alio nao ni ngumu sana kubaki na ubora aliokuwa nao misimu michache iliyopita.
Mzize namchukua mapema kabisa.Ukpewa samata na mzize pamojb na wazr junior usajili kwa timu yako kwa performance zao za sasa unamsajili nani?
Wewe uambiwe kibu deniss, kibu dii kibu denga, kibu mkandaji mzee wa hapahapa oh waoooooo what a fantastik straiki😂😂 mzee wa kombora la icbm goli moja in a season na Mbwana Samatta ukimchagua kibu nani mwengine anafuata?😁😀🚶🏽♂️Nakubaliana naww, lakn kwenye huo uzee wake ntajie kjana anaemuweka samata bench hapa bongo? na pia kwann asiitwe hata akae sub? je tuna mchezaji currently anaecheza timu kubwa kuliko samata? je wazungu wajinga wanaomsajili samata timu kubwa kila uchao? na je mbna hao vjana hata kusajiliwa vitimu t vya south africa t hawasajili?