Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Kama unampenda,kampe....Sisalimii mtu yeyote humu, kama TAIFA bado hatuna mchezaji yeyote mzawa anaecheza nje au ndani ya TANZANIA anaefikia uwezo wa SAMATA MZEE WA SASA hata kwa asilimia 30 tu, bisha kubali lakini ukweli ndo huo
We ushampa bwana wako?Kama unampenda,kampe....
We ushampa bwana wako?Kama unampenda,kampe....
We ushampa bwana wako?Kama unampenda,kampe....
Acha shobo na nyuz za watuTittle ya uzi wako imekaa kijinga sana
Nakubaliana naww, lakn kwenye huo uzee wake ntajie kjana anaemuweka samata bench hapa bongo? na pia kwann asiitwe hata akae sub? je tuna mchezaji currently anaecheza timu kubwa kuliko samata? je wazungu wajinga wanaomsajili samata timu kubwa kila uchao? na je mbna hao vjana hata kusajiliwa vitimu t vya south africa t hawasajili?Kazi na umri mkuu, Samata ni mchezaji mzuri na mwenye profile kubwa ila kwa sasa hana mchango wa manufaa kwa timu yetu ya taifa.

Kucheza ulaya sio kigezo cha kuwa bora au kujua sana, inategemea na management ya mchezaji na wengine bahati inawabeba zaidi.Nakubaliana naww, lakn kwenye huo uzee wake ntajie kjana anaemuweka samata bench hapa bongo? na pia kwann asiitwe hata akae sub? je tuna mchezaji currently anaecheza timu kubwa kuliko samata? je wazungu wajinga wanaomsajili samata timu kubwa kila uchao? na je mbna hao vjana hata kusajiliwa vitimu t vya south africa t hawasajili?
Sahihi kabisa. Ukishaingia circle fulani, ni rahisi kuzunguka humo humo. Samatta ameshaingia kwenye mfumo wa Ulaya kwa hiyo hawezi kukosa timu lakini siyo kwa sababu kiwango chake ni kikubwa kwa sasa. Ni sawa na Msuva alivyoingia kwenye circle ya Waarabu, hawezi kukosa timu za huko Uarabuni lakini ndiyo hivyo anakaa miezi 6 wanamtema.Kucheza ulaya sio kigezo cha kuwa bora au kujua sana, inategemea na management ya mchezaji na wengine bahati inawabeba zaidi.
Kwann hao wakna wazir jr na wengne hawaingii kwenye hyo cicle unayoisema? wao wanashndwa wap?Sahihi kabisa. Ukishaingia circle fulani, ni rahisi kuzunguka humo humo. Samatta ameshaingia kwenye mfumo wa Ulaya kwa hiyo hawezi kukosa timu lakini siyo kwa sababu kiwango chake ni kikubwa kwa sasa. Ni sawa na Msuva alivyoingia kwenye circle ya Waarabu, hawezi kukosa timu za huko Uarabuni lakini ndiyo hivyo anakaa miezi 6 wanamtema.
Wengi hawalijui hili hata Thomas Ulimwengu ni hivyo hivyo.Sahihi kabisa. Ukishaingia circle fulani, ni rahisi kuzunguka humo humo. Samatta ameshaingia kwenye mfumo wa Ulaya kwa hiyo hawezi kukosa timu lakini siyo kwa sababu kiwango chake ni kikubwa kwa sasa. Ni sawa na Msuva alivyoingia kwenye circle ya Waarabu, hawezi kukosa timu za huko Uarabuni lakini ndiyo hivyo anakaa miezi 6 wanamtema.