Mbwana Samata hata angekuwa chiba, bado huwezi mfananisha na yeyote anayecheza hapa Bongo

Yaani wewe mtu wa mpira halafu unauliza swali kama hilo?
Jbu n kwamba hawana uwezo hata 20% ya huyo mzee, ronaldo anamiaka karbia 40 na anaitwa kwenye timu yenye vpaj kbao,sisi bado hatuna jeur hyo kubal kataa na watamrudsha mambo yakiwa magumu
 
Sahihi kabisa. Ni wakati wa kujenga kikosi kipya ili AFCON tutakayohost tuwe na kikosi cha ushindani. Niliwahi kuuliza hivi ni lini mara ya mwisho Samatta kafunga goli timu ya taifa mbona kitambo sana.
 
Jbu n kwamba hawana uwezo hata 20% ya huyo mzee, ronaldo anamiaka karbia 40 na anaitwa kwenye timu yenye vpaj kbao,sisi bado hatuna jeur hyo kubal kataa na watamrudsha mambo yakiwa magumu
Hilo ni jibu lako ila siyo jibu sahihi.

Mwaka jana Ronaldo kafunga goli 10 kwenye timu ya taifa. Goli la mwisho kwenye timu ya taifa Samatta amefunga lini?
 
Sisalimii mtu yeyote humu, kama TAIFA bado hatuna mchezaji yeyote mzawa anaecheza nje au ndani ya TANZANIA anaefikia uwezo wa SAMATA MZEE WA SASA hata kwa asilimia 30 tu, bisha kubali lakini ukweli ndo huo
Samatta alishajiishia kitambo, kabaki jina tu.
 
Sahihi kabisa. Ni wakati wa kujenga kikosi kipya ili AFCON tutakayohost tuwe na kikosi cha ushindani. Niliwahi kuuliza hivi ni lini mara ya mwisho Samatta kafunga goli timu ya taifa mbona kitambo sana.
Ni muda mrefu ila kwa umri alio nao ni ngumu sana kubaki na ubora aliokuwa nao misimu michache iliyopita.
 
Samatta anatakiwa kuwa kiongozi kwenye timu ya Taifa,,vijana wapate hamasa na uzoefu kutoka kwake ni vyema akaitwa lakini asitegemewe sana....uwepo wake uwe chachu ya mafanikio kwa vijana,maana timu ikiwa na vijana watupu utoto unakuwa mwingi.....Tanzania kuna wachezaji wazuri wenye vipaji vikubwa lakini hawana nafasi kuna vijana wengi wanaitwaga sana timu ya Taifa na hawachezi sijui kwa nini?

kocha aanze kujenga timu ya miaka kumi mbele sasa na sio kuita wachezaji kibao wanaenda kutalii na kula pesa za wananchi bure bila kulitumikia Taifa.
 
Wewe uambiwe kibu deniss, kibu dii kibu denga, kibu mkandaji mzee wa hapahapa oh waoooooo what a fantastik straiki๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mzee wa kombora la icbm goli moja in a season na Mbwana Samatta ukimchagua kibu nani mwengine anafuata?๐Ÿ˜๐Ÿ˜€๐Ÿšถ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ