Mbwana Samata huenda kukipiga La Liga!

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,183
Reaction score
1,619
Club ya Livante inayokipiga kwenye ligi ya uhispalia (laliga) inaiwinda kwa udi na uvumba signature ya Mbwana Samata. https://t.co/6zUXyw3dP1:"
„Exot“ aus Tansania | Levante konkurriert mit Bundesligist um Genk-Stürmer Samatta
https://t.co/MQoyzXUbn7"
#Fussball #Transfermarkt

======

Klabu za Levante ya nchini Hispania na CSKA Moscow ya Urusi zinawania saini ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta. Wakala wa mchezaji huyo, Jamal Kisongo amesema klabu yake ya KRC Genk iko tayari kumuachia mchezaji huyo licha ya kuwa mkataba wake haujamalizika.
 
Last edited by a moderator:
wakuu taarifa njem ni kwamba mshambuliaji w kimataifa wa tanzania mbwana samata yuko karibuni kutimkia ligi kuu hispania hiyo ni baada ya timu ya levante kuonesha kuhitaji saini yake kw dau la uero 4 million baada ya mchezaj wao emanuel boateng kuumia pia ana ofa kutoka klabu za bundesliga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…