Mbwana Samata huenda kukipiga La Liga!

Mbwana Samata huenda kukipiga La Liga!

Hii Levante inashika nafac yangap
Kwenye league maana iswe
Iko number 19
 
Mwenyezi Mungu amjalie azidi kutimiza malengo yke na awe na mafanikio zaidi
 
Co ujinga mkuu nmeuliza msimu uliopita
Na,hicho kitimu na kigongwa hata 6
Ndo mnashangilia kwenda huko
Sasa ligi ya Belgium na Laliga ipi kubwa.
Kingine ingekua ya 19 ingekua imeshuka daraja.
Mwisho, usikatishe tamaa hiyo ni hatua nzr sana kwake kucheza ligi inayotazamwa sana kuliko aliyotoka.
Inamuongezea fursa kubwa kwenye carear yake
 
Mungu aendelee kumfungulia milango zaidi na zaidi ili siku moja tumuone pale EPL....
 
hiyo picha kwangu imepanuka sana..naona mguu wa kulia tu wa samatta..haya marekebisho ya jf siyaelewi
 
genk club kubwa kuliko levante, na sifa ya mchezaji kucheza mashindano makubwa sio ligi kubwa.
 
Back
Top Bottom