Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Achana na technogenk club kubwa kuliko levante, na sifa ya mchezaji kucheza mashindano makubwa sio ligi kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na technogenk club kubwa kuliko levante, na sifa ya mchezaji kucheza mashindano makubwa sio ligi kubwa.
genk club kubwa kuliko levante, na sifa ya mchezaji kucheza mashindano makubwa sio ligi kubwa.
Achana na techno
Livante ni kubwa kuliko genk wewe.Kuonekana anaonekana hata huko hasa ikizingatiwa Genk inacheza Europa
Kwani ni timu gani iliyoifunga barca goli 5 msimu uliopita?Co ujinga mkuu nmeuliza msimu uliopita
Na,hicho kitimu na kigongwa hata 6
Ndo mnashangilia kwenda huko
Sijui kwanini watanzania bado wanaamini kwenda EPL ndio kutoka[emoji16]Mungu aendelee kumfungulia milango zaidi na zaidi ili siku moja tumuone pale EPL....
safi hebu kisia anapiga shuti linagonga mwamba au anatia kitu kimiani kabisa.Ila huwa inacheza na Madrid na Barcelona! Na wanazitazama club hizi ni wengi sana
acha kuzinguaHata Dortmund wanamtaka
Sijui kwanini watanzania bado wanaamini kwenda EPL ndio kutoka[emoji16]
Unafikiri ni wabongo tu,Karibu dunia nzima,kwani wewe ungekuwa mchezaji ni team gani ungependa uanzieSijui kwanini watanzania bado wanaamini kwenda EPL ndio kutoka[emoji16]
Real MadridUnafikiri ni wabongo tu,Karibu dunia nzima,kwani wewe ungekuwa mchezaji ni team gani ungependa uanzie