Mbwana Samata: Special Thread

Mbwana Samata: Special Thread

[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
bongozozo_tanzania-20200201-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aache mambo ya kutafuniwa, ausome mchezo apambane mwenyewe kutafuta mpira.
 
Mbwana, kumbuka wewe upo huko kuwafungulia njia vijana wengine wengi zaidi.

Sisi tunakuombea Mungu azidi kukufungulia njia mkuu
Nadhani mbali na kufanya vizuri uwanjani, kama ulivyosema yampasa Samatta kuangalia namna gani anafungua milango na kutengeneza njia kwa ndugu zake aliowaacha huku ila nao wapate kujongea kunako ulimwengu wa kwanza wa michezo.

Na wala hili siyo ombi bali ni wajibu wake ambao amejibebesha mwenyewe mabegani mwake (kwa kupambana ha hatimaye kutoboa).

Kuna namna nyingi Samagoal anaweza saidia wadogo zake ikiwemo kuanzisha shule ya soka/michezo yaani academy. Naamini muda si mrefu Maestro huyu atakuwa kwenye nafasi ya kufanya hivyo. Mbali na kusaidia wadogo zake, kwa kujenga academy hata yeye atakuwa amefanya uwekezaji mkubwa utakaomnufaisha yeye na wanaomzunguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure Mkuu

Back
Top Bottom