Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaMna haki ya kukosoa Ila msimvunjie heshma Samata. Samata ni mchezaji mzuri ila yeye na timu yake wanapitia wakti ngumu ila anahitaji muda akae sawa. Samata ni fahari ya Tanzania, kufanikiwa kwake EPL Kuna fungua Imani kwa Mawakala juu ya wachezaji kutokea Tanzania.