Mbwana Samatta achaguliwa katika kikosi bora cha UEFA(Europa League)

Tungekuwa na hawa wengine kama watano ndo tungekuwa na taifa stars ila kwa sasa akija stars anaingia kwenye msitu wa vila..z
Nadhani Serengeti Boys ikisukwa vizuri pia ikatimiziwa mahitaji yake hakika tutapata kina Samantha wengi sana. Kijana anajituma. Siri kubwa ya mafanikio unaposakata kabumbu nchi za wenzetu ni kujituma
 
Mkuu acha kabisa kumfananisha samata na pobga ama zlatan hata kama ni mtz mwenzetu, ndio Yale mambo ya kumfananisha schools, lampard and Gerrard
 
samataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Download nyimbo ya MC wa Hip Hop Nikki Mbishi inaitwa SAM MAGOLI [HASHTAG]#SAMAGOLI[/HASHTAG] ... Hongera kwako MBWANA ALI SAMATTA
 
Possibly akaze msuli everything is possible.
 
Mtoa mada kaongea kwa Data, wewe unaleta hisia....
Yeye analeta unazi kama wa Yanga na Simba anabishana na takwimu za wenyewe UEFA wanaosimamia Europa league. Au hajui hao akina Zlatan na Pogba wanashiriki hayo mashindano lakini hawamo ktk hicho kikosi bora cha wiki? Huyo jamaa ndio hakikubali cha kwake kama bora.
 
Nawapongeza Samatta na Aboubakar na kuwashauri waendelee kushirikiana na wenzeo katika kufikia Malengo ya Maisha yao. Ila Aboubakari sijui ni kwa nini nimempongeza!
Kwa 7bu Ni mtu wa imani yako!!!?
 
Weeeeee hana uwezo wa kuja BARCELONA huyo, huyo level zake ni timu ndogondogo kama Chelsea, arsenal, juventus, man Utd, Liverpool labda na kidogo Madrid....etc
 
Mpaka raha kwa Ally mbwana sammatta wa Tp mazembe na mzaliwa wa Congo, angekua mtz angekua na kashfa nyingi maka sasa.hahahaaaa
Hahaaahahaha ni mkenya angekuwa mkongo angekuwa kashajichubua zaman ananengua stejini
 
Hongera yake,kinachokera lakini ni kuwa hakuna wachezaji wengine wa kibongo wanaotamani kufuata nyayo zake!
Siku Hizi mpira bongo haupewi priority ni kama hauzalish tuko busy na Team kiba na diamond kwanza
 
Kafuata nyayo zawakongoman wenzake ka , Romania ruarua,Nonda shaban ..nk maadili aliyo lelewa na Moise katumbi pale Lubumbashi hayamruhusu kujuchubua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…