Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Nadhani Serengeti Boys ikisukwa vizuri pia ikatimiziwa mahitaji yake hakika tutapata kina Samantha wengi sana. Kijana anajituma. Siri kubwa ya mafanikio unaposakata kabumbu nchi za wenzetu ni kujitumaTungekuwa na hawa wengine kama watano ndo tungekuwa na taifa stars ila kwa sasa akija stars anaingia kwenye msitu wa vila..z