Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Mungu amjaalie nyota yake izidi kung'aahaaaaa jamaa anajua na hajisikii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu amjaalie nyota yake izidi kung'aahaaaaa jamaa anajua na hajisikii
Wakenya Mmeshaanza ujinga wenu,,, mtanzania akifanya vizur kimataifa nyie mwasema ni mkenyaaYaani samatta angekuwa mtanzania... Ungesikia mara kamdate mbongo movie, mara video queen.. Hahaha full kuonekana kwenye magazeti ya umbea
kwani samatta ni mchina??
Kumbe Samatta mkenya eeh?[emoji47]
mtatafuta kila neno,lakini namba inasomeka ni mtanzaniaNi Mzanzibari Kutoka Kojani Pemba ambaye asili yake ni Mgunya Kutoka Kenya ambaye Wazazi wake Walihamia Tu Huko Tanganyika....
acha kumringanisha samatta na vitu vya kipuuziKing kiba ni mkubwa kuliko mbwana samata