Mbwana Samatta Afunga Ndoa na Naima Omary. Tunawatakia Kila la Heri Katika Ndoa Yenu. Hongereni Sana.

Hivi wakristo huwa hawaachani au ni story tu?
The late Reginald Mengi hakuachana na mke wake.
 
Hata makanisani wanapiga vita ndoa za mbwembwe. Inaonekana umekaririshwa mambo, wafunga ndoa za kikristu wengi tu huchukuana na kwenda kufungishwa ndoa ma Padre bila ya kuwepo mikusanyiko ya watu kama mnavyoona.
Katoliki zinafungwa sana ndoa hizo. Wanaotaka ndoa zenye mbwembwe siyo makanisa bali ni wanafamilia. Usichanganye mambo.
 
Mtu anafungaje ndoa wakati walikuwa wakiishi wote na wamezaa? Aliiona aibu kuwa akisema anaomba mchango wa Kufunga ndoa watu wangemzodoa.Hamna Cha Kufunga ndoa hapo Ni umaruhuni tu.
Vp ulitaka wabariki ndoa....

Ova
 
Mazee soma uelewe. Sasa kama wanafamilia ndiyo wanataka ndoa za mbwembwe na siyo kanisa hao wanafamilia ni waumini wa dini gani? Mbona zipo hata za kiislam zinakuwa na mbwembwe? Kwa ujumla ndoa zinazokuwa na mbwembwe percent kubwa ni za kanisani, na ndiyo nilichosema hapa. Na siyo ndoa tu bali hata mazishi. Hii ni fact ambayo hwezi kuifunika na ''wanafamilia ndiyo wanataka''.
 
Katika watu siwaelewagi ni nyie asee, si bora mngeruhusiwa tu kama sisi kuliko mnaoa mke mmoja michepuko 40
 
Akitoka hapo anaenda kulala kwa Ritha [emoji40] wanaume hawas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…