Mbwana Samatta Afunga Ndoa na Naima Omary. Tunawatakia Kila la Heri Katika Ndoa Yenu. Hongereni Sana.

Mbwana Samatta Afunga Ndoa na Naima Omary. Tunawatakia Kila la Heri Katika Ndoa Yenu. Hongereni Sana.

Mtu anafungaje ndoa wakati walikuwa wakiishi wote na wamezaa? Aliiona aibu kuwa akisema anaomba mchango wa Kufunga ndoa watu wangemzodoa.Hamna Cha Kufunga ndoa hapo Ni umaruhuni tu.
Kwa hiyo wasingehalalisha ili waendelee kuzini? Hii kali
 
Consigliere,
Hata makanisani wanapiga vita ndoa za mbwembwe. Inaonekana umekaririshwa mambo, wafunga ndoa za kikristu wengu tu huchukuana na kwenda kufungishwa ndoa ma Padre bila ya kuwepo mikusanyiko ya watu kama mnavyoona.
Katoliki zinafungwa sana ndoa hizo. Wanaotaka ndoa zenye mbwembwe siyo makanisa bali ni wanafamilia. Usichanganye mambo.

Umemaliza kila kitu nilichotaka kuzungumza. Watu wengi huchanganya sana kati ya ndoa na harusi, Ndoa ni tendo la kuunganisha watu wawili wapendanao kiimani tu tukiamini chini ya watumishi wa Mungu waliokasimishwa mamlaka hayo yaani Sheikh au Padre au Mchungaji wakati harusi ni sherehe baada ya tukio zima la ndoa kufungwa. Sasa hapa jinsi ya kuifanya hiyo sherehe ya ndoa ni familia zenu Zaidi zitaamua, kwa upande wa dini hakuna dini hata moja inayo-complicate the whole process.
 
Hivi wale wanawake wazuri wazuri macelebrity wa kibongo mbona sioni wakiolewa au wanakatazwa kutokana na nature ya kazi zao..?
 
Uko sahihi kabisa. Katika vitu navyoonea wivu waislam ni suala la ndoa. Harusi zao zipo simple and clear. Hakuna ujinga ujinga wa vikombwelezo visivyo na maana. NB: Hapa sinzungumzii wale waislam walioingia kwenye klabu ya ndoa zenye vikombwelezo kama wakristo.
Ukubwa ama udogo wa harusi yaani iwe simple ama complicated hautokani na dini ni utashi wa mtu tu.

Hakuna mafundisho yoyote ya dini yaliyoweka kigezo cha ukubwa au udogo wa harusi.
 
Hongera zao Mungu awajalie mema katika ndoa yao
 
Naambiwa Hapa Kuna Mto Ukinywa Maji Unazaa Watoto Mapacha, Ni Vile Mke Wangu Ni Mzee Lakini Tungekwenda Kunywa . Ndugu Zangu Waandishi Wa Habari Mkanywe Na Wengine Mkizaa Mapacha Tunaongezeka
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Za waislamu hazina mbwembwe sababu zingekuwa nazo mume angefilisika hadi.afikishe wake wanne kila mmoja akimfanyia sherehe ya nguvu si atakuwa maskini.

Wakristo Ni.mke mmoja hivyo mke hufanyiwa sherehe ya uhakika.
Halafu kwa waislamu talaka nje nje mtu anaogopa kugharimia mtu ambaye Hana uhakika naye ataishi naye muda gani.
Ndoa za kiislamu za kutizamana kimachale machale kila mtu haelewi mwenzie atachomoa betri lini.
Kweli kabisa , za wa KRISTO usipo kula bata hiyo moja basi, ukiachika basi huko kwingine ni uzinzi tu
 
Ukubwa ama udogo wa harusi yaani iwe simple ama complicated hautokani na dini ni utashi wa mtu tu.

Hakuna mafundisho yoyote ya dini yaliyoweka kigezo cha ukubwa au udogo wa harusi.
Kabisa. Na nilichosema ni kuwa waislam wengi harusi zao ni simple kulinganisha na za wakristo ambazo wanaweka vimbwanga vingi vizivyo na maana. Na nikasema pia wako waislam wanaofanya za kifahari kulinganisha japo siyo wengi kama wakristo. Sikusema popote dini ndizo zinaamuru bali ni mapokeo tu.
 
Consigliere,
Hata makanisani wanapiga vita ndoa za mbwembwe. Inaonekana umekaririshwa mambo, wafunga ndoa za kikristu wengu tu huchukuana na kwenda kufungishwa ndoa ma Padre bila ya kuwepo mikusanyiko ya watu kama mnavyoona.
Katoliki zinafungwa sana ndoa hizo. Wanaotaka ndoa zenye mbwembwe siyo makanisa bali ni wanafamilia. Usichanganye mambo.

Umemaliza kila kitu nilichotaka kuzungumza. Watu wengi huchanganya sana kati ya ndoa na harusi, Ndoa ni tendo la kuunganisha watu wawili wapendanao kiimani tu tukiamini chini ya watumishi wa Mungu waliokasimishwa mamlaka hayo yaani Sheikh au Padre au Mchungaji wakati harusi ni sherehe baada ya tukio zima la ndoa kufungwa. Sasa hapa jinsi ya kuifanya hiyo sherehe ya ndoa ni familia zenu Zaidi zitaamua, kwa upande wa dini hakuna dini hata moja inayo-complicate the whole process.
Siyo dini zina-complicate au ku-simplify bali ni mapokeo. Dini hazitaji popote kitu kama sherehe. Sherehe ni matokeo tu. Lakini lazima tukubali kuwa kwenye dini ya ukristo, mapokea yao yamekuwa ya gharama kuliko waislam. Na mbaya zaidi waafrika wameingia kichwa kichwa na kufanya tena sherehe ikawa ya gharama kuliko hata wazungu walioleta hizo dini na mapokea. Juzi jamaa yangu katoka kwenye kikao cha harusi na kaniambia wanapanga kufanya yafuatayo: Engagement part (walishafanya), bridal shower, kitchen part, send off, harusi yenyewe na baadae honeymoon! Na kila tukio linakuja na gharama zake na ukiangalia wahusika siyo watu wenye fedha nyingi!
 
Hata makanisani wanapiga vita ndoa za mbwembwe. Inaonekana umekaririshwa mambo, wafunga ndoa za kikristu wengu tu huchukuana na kwenda kufungishwa ndoa ma Padre bila ya kuwepo mikusanyiko ya watu kama mnavyoona.
Katoliki zinafungwa sana ndoa hizo. Wanaotaka ndoa zenye mbwembwe siyo makanisa bali ni wanafamilia. Usichanganye mambo.
Karibia 90% ya wakatoliki hufanya kama Sammata. yaani hubarik ndoa tu wakat wameshazaa .
 
macho_mdiliko, Soma vizuri tena hapo nilipoweka maoni yangu. Ulichofunguka wewe ndio hicho hicho nilichoweka mimi pia hapo. Juu ya huyo Rafiki yako kama anamudu kufanya mavitu yote hayo hakuna shida ila kama anategemea michango ya watu ni bonge la bozo.
 
Back
Top Bottom