Alipata team nje akaenda akachemsha,alitaka maisha ya bongo kutwa kuwepo mawela bar sinza
Tena huyu bianadamu, ni mmoja kati ya Watanzania wenye bahati zaidi. Maana lipokwenda Sweden alifikia first eleven kabisa na akawa anacheza vizrui tu kisha eti akakumbuka nyumbani!!!!!!!